Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sidhani kama US ni wajinga kwamba hakuondoa askari wake hapo kwenye hizo kambi kabla hajashambulia Iran.
Walishaondoka siku nyingi!

Marekani kwenye hizo kambi yamebaki magofu tu ila vifaa muhimu na askari waliamuliwa kuondoka.

Ayatollah akipona safari hii sijui.

Ilikuwa lazima Iran ashambuliwe, isingewezekana USA kurudisha vifaa vyote vile bure tu.
 
"The Israeli Air Force is currently conducting a broad strike on a number of military targets belonging to the Iranian regime in western Iran." - IDF
 
Walishaondoka siku nyingi!

Marekani kwenye hizo kambi yamebaki magofu tu ila vifaa muhimu na askari waliamuliwa kuondoka.

Ayatollah akipona safari hii sijui.

Ilikuwa lazima Iran ashambuliwe, isingewezekana USA kurudisha vifaa vyote vile bure tu.
Yani upo kibaha madafu lkn unajua silaha zote za USA middle east zilipo
 
Nchini Israel hakuna wafuasi wa Yesu (hakuna Wakristo) na wala hairuhusiwi kupeleka Injili huko.
Ni rahisi kwenda kuhubiri Injili Saudi Arabia kuliko kwenda kuhubiri Israel.
Angalau Kuna Waisrael Waislam ila Waisrael wakristo kwanza kuwapata ni shida kwa kuwa hawakubaliki....
Wewe ni liongo takataka kabisa, Israel kila siku wainjilishaji wanaenda kujifunza na kuhubiria watu.

Unawajua Hillsong bata mavi wewe?
 
Wapi nimejiambatanisha na Wakristo?

Nyie walokole wa kimatumbi mna akili kisoda sana

Israel wameua maelfu ya Wakristo wa kipalestina ila mnashangilia tu kama magoigoi🚮
Sasa unaikataa dini yako ya kiislam ili ionekane mtu mwema mtandaoni 😁😁

Hao wakrsto wa Palestine wameteswa zaidi magaidi ya Hamas

waislam wa Palestine wamewavunjia makanisa nk

Kwa Sasa wakrsto wa Gaza 1% tu wengine walilazimishwa kuwa waislam au kuuwawa

kwa hiyo wewe Shia mvaa pedo huna Cha kunidanganya
 
Hii vitu haina siku zaid ya 2 inaisha hao waarabu wanaoshambuliwa kambi za USA nchini mwao watasababisha vita iishe mapema wananchi wao hawatakubali huu upumbavu
Lakini hao waarabu na wenyewe ni maadui wa Iran, wanatamani Iran apigwe awe dhaifu. Ni vile tu hakuna mtu anaefurahia vita nchini mwake. Waarabu wanatamani Iran ipigwe lakini bila kuwaathiri wao. Na ndio maana Iran analenga kambi za kijeshi za Marekani hapo masharki ya kati ili na waarabu waonje kidogo kidogo joto.
 
Base ya US zimepigwa UAE Baharain, Jordan, Kuwait. Israel, Qatar wanajidai wanatungua Missiles hahaha

Hata Saud Arabia inasemekana Riyadh kumesikika milipuko.

Israel anazuia watu kutoa video hahaha

Safi sana Iran

Jerusalem vitu vimeshuka kama kawaida
 
Back
Top Bottom