Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

HCO5Pv3aoAAljkA.jpeg


A country full of retards.
 
Ungejua hapo inalindwa mecca hata usingeumiza kichwa kumalaumu USA na Israel.
Kabisa Maana washia wakishapata influence watu wataacha kwenda mecca kuabudu kitovu Cha ibada kitahamia Kwa washia so USA Aana mkataba na Saudia wa kuilinda legacy ya mecca na kuitunza isipotee huku wao wanapewa wese
 
Jamani brics wako wapiii na mrusi wamsaidie kdgo muirani mazee dah sio poaaa
 
Usitudanganye hapa. USA aliondoa askari wake Al udeida base ya Qatar peke yake. Kwingine kote askari wapo.
Hufuatilii pekeako hizi habari!

Kwenye ile vita ya siku 12 USA na Israel walimsoma Ayatollah kisha wakajifanya kusitisha vita kumbe wanarudi kujipanga upya.
Moja ya target za Iran siku zote ilikuwa ni hizo kambi ndio sababu USA aliondoa watu wote kukabaki empty ndio maana unaona makombora yanatua bila upinzani.

Safari hii Bibi na Trump wamekuja wakiwa full kwahiyo Ayatollah hachomoi
 
Unaandika ukiwa kiwalani kwenye chumba cha kupanga. Ujusji ujuaji tu. Mibongo bana. Baada ya hapo unaenda kwa mangi kukopa unga.
Mkuu, mi nimeeleza mafundisho ya Kanisa langu Katoliki. Hata hivyo ninatambua duniani kuna dini na madhehebu mengi na sio wote lazima wafuate kile ambacho Kanisa Langu linafundisha. Kama nimedanganya uzuri kuna Google,unaweza kujisomea mwenyewe kwa undani historia ya uhusiano wa Vatican na taifa la Israel la sasa. Kama nimedanganya niko tayari kurekebishwa. Wote tunajifunza
 
Back
Top Bottom