Umetumia kigezo gani cha kijeshi, kiteknolojia au kiuchumi kufikiria hvyo au ni hisia? Ki fact Israel iko mbali sana kijeshi la kisasa ukilinganisha na nchi zote Mashariki ya kati na baadhi za Ulaya...ila hawana eneo, Iran ni nchi kubwa sana kijeografia ambayo ni nzuri kwa kujilinda na makombora. Kuna nchi ambazo huwezi kuzishambulia kwa makombora ukashinda hata kama zingekua hazina jeshi kama Iran, US, Russia, Afghanstan kwa sababu ya geografia yake. Plan ya US na Israeli sio kuharibu Iran...ukiharibu Iran mashariki ya kati kila siku itakua vita, plan ni kudhoodisha uongozi wa Ayatollah na jeshi lake ili yatokee mapinduzi ambao utaongozwa na na wa Shaa ambao ndio walikua viongozi halali wa Iran kabla ya mapinduzi ya Ayatollah miaka ya 70. ma SHAA walikua marafiki wakubwa wa Israeli na US na hadi sasa 50%ya raia wanaunga mkono Ayatollah na 50% wanaunga wa Shaa ambao wako uhamishoni...