Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hili suala limeongelewa mara nyingi na watu wengi. Inaonekana kama hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya Waisrael wa sasa na wale waliotajwa kwenye maandiko matakatifu. Pia inaonekana uanzishwaji wa taifa la sasa la Israel ni mkakati tu wa nchi za magharibi kutawala eneo la Mashariki ya kati. Hata Kanisa Katoliki lilipinga uanzishwaji wa taifa la sasa la Israel.
Unaandika ukiwa kiwalani kwenye chumba cha kupanga. Ujuaji ujuaji tu. Mibongo bana. Baada ya hapo unaenda kwa mangi kukopa unga.
 
Sasa unaikataa dini yako ya kiislam ili ionekane mtu mwema mtandaoni 😁😁

Hao wakrsto wa Palestine wameteswa zaidi magaidi ya Hamas

waislam wa Palestine wamewavunjia makanisa nk

Kwa Sasa wakrsto wa Gaza 1% tu wengine walilazimishwa kuwa waislam au kuuwawa

kwa hiyo wewe Shia mvaa pedo huna Cha kunidanganya
Kumbe jadiliana na kiazi 🚮
 
Out of topic
Huwa najiuliza, pengine Wapalestina ndio Waisrael wa Mussa (Taifa Teule) kwani pia wapo lile eneo la Israel kwa Asili; Inakuwaje wanao jiita Waisrael na manguvu yao yote wanapigana vita na Palestina tangu miaka ya 1970, ambao hawana hata silaha ila wanaojiita waisrael wanachoka na kuomba vita iishe na chap unakuta palestina imejengeka? Ninawasisi, taifa teule ni Wapalestina.

Turudi kwenye Historia;
Baada ya vita kuu ya Pili, mwaka 1945, Marekani iliwazawadia mamluki walio isaidia kwenye Vita ambao wengi wao walikuwa ni Wajerumani; wale waliokuwa weupe (Wazungu) wakazawadiwa eneo la Palestina, tunalolitambua kama Israel kwa sasa na wale weusi (Waafrica) wakazawadiwa eneo la Africa magharibi linalo tambulika kwa sasa kama Ivory cost.
Ni mtazamo tu!
Hujui hata Biblia wala Historia
 
Mafuta kupanda bei ni lazima mkuu hata kama serikali isipotafuta visingizio. Asilimia 20 ya mafuta yanayotumiwa na dunia yanapita kwenye Mlango wa Hormuz hapo Iran, vita itaathiri usafirishaji wa mafuta kwa namna moja au nyingine. Tutakaoteseka ni sisi nchi maskini tena za Afrika ambao tumeshindwa kujenga refinery tusafishe mafuta yetu yaliyotapakaa bara zima badala yake hadi leo tunategemea kuagiza mafuta nje.
Mungu tuhurumie kwa namna wanavyochapana hivi utulivu hautakuwepo leo
 
Walishaondoka siku nyingi!

Marekani kwenye hizo kambi yamebaki magofu tu ila vifaa muhimu na askari waliamuliwa kuondoka.

Ayatollah akipona safari hii sijui.

Ilikuwa lazima Iran ashambuliwe, isingewezekana USA kurudisha vifaa vyote vile bure tu.
Usitudanganye hapa. USA aliondoa askari wake Al udeida base ya Qatar peke yake. Kwingine kote askari wapo.
 
Yaani mpaka ipenye

xeeeeet.PNG
 
Lakini hao waarabu na wenyewe ni maadui wa Iran, wanatamani Iran apigwe awe dhaifu. Ni vile tu hakuna mtu anaefurahia vita nchini mwake. Waarabu wanatamani Iran ipigwe lakini bila kuwaathiri wao. Na ndio maana Iran analenga kambi za kijeshi za Marekani hapo masharki ya kati ili na waarabu waonje kidogo kidogo joto.
Na hyo ndo njia pekee ya kumaliza vita hii
 
Israel ni mbwa koko tu; anategemea Marekani yenye kituo cha kijeshi pale Israel.
Uwezo wake wa kijeshi ni wakawaida saaana ila ni overrated hasa huku kwa wafuasi wanao fikiri waisrael ni wakristo!
Safari hii mtaficha kichwa wapi nyie wasunishia?😛😛
 
Back
Top Bottom