dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
dadekiSaudia Arabia. Riyadh kambi ya marekani imepelekewa kitu Cha moto
dadekiSaudia Arabia. Riyadh kambi ya marekani imepelekewa kitu Cha moto
Mimi nimeweka maandiko. Wewe umekuja na maneno yako mwenyewe!Soma vizuri maandiko
Ujio wa Yesu unaosubiriwa ni unyakuo wa KANISA
Ataishia Mawinguni hata fila duniani
Sana yaani ...hata vita ya Nazi wa Ujerumani walikuwa na backup ya raia ndio maana Hitler alisumbua sana kwenye vita ile.. kama sio nguvu ya ziada ilitumika dhidi yake ungekuta ameitawala ulaya yoteNa raia wa US walipoona askari wao wanakufa sana wakataka vita vikome, US akarudisha jeshi nyumbani. Raia wana nguvu sana sana.
Iran imepiga Kuwait, imepiga Bahrain imepiga Qatar imepiga UAE, ina ISRAEL kote huko ni moto tu.Ahsante Ayatollah
Oya,muajemi kachafukwa,cha msingi awe na mzigo mwingi,asiishiweBREAKING: EXPLOSIONS IN SAUDI CAPITAL
Ni kupeleka moto tu bila kuchokaIran imepiga Kuwait, imepiga Bahrain imepiga Qatar imepiga UAE, ina ISRAEL kote huko ni moto tu.
Anapiga kambi za Marekani kwanza kudhoofisha logistics ya silaha zilizo karibu naye kwanza hili kupunguza mashambulizi,maana hata shambulio la kwnza kabisa limetokea Jordan
Kwa sasa Trump kawambia kazi yao ni kuhakikisha Iran inakuwa kilema wa siraha kuliko hata tz.Hili ni onyo
Propaganda hii Al Jazeera tunajua ipo upande upi wa vitaIran anasema kambi zote za USA middle East zipo kwenye target yake
View attachment 3549891
Sidhani kama US ni wajinga kwamba hakuondoa askari wake hapo kwenye hizo kambi kabla hajashambulia Iran.Iran anapoteza muda! Wenzake wanampiga kwenye mshono ila yeye anarusha tu makombora!
. Hizo kambi atapiga ila hata pata chochote
Ukitaka usalama,kaa vizuri na raia wako. Watakuwa tayari hata kufa kwa ajili yako. Mfano mzuri ni Traore wa Burkina Faso, ni kiongozi wa kijeshi lakini kajua kuwin mioyo ya raia wake. Ndio maana yule jenerali wa Marekani alivyoongea maneno ya shombo kumhusu,raia wa Burkina Faso walijaa barabarani. Lakini Traore angekuwa hapendwi,maneno ya yule Jenerali yangeshangiliwa. Hata wakati wa vita ya Uganda, wanajeshi wa Tz walisaidiwa sana na wananchi wa Uganda kuuangusha utawala wa Idd Amin.Nmeona makombora yakipiga kambi za kijeshi za Iran huku raia wakirekodi na kushangilia
😂 😂 😂 Anatapatapa tuOya,muajemi kachafukwa,cha msingi awe na mzigo mwingi,asiishiwe
******* wanatumia kila walicho nacho, before it is too lateBREAKING: EXPLOSIONS IN SAUDI CAPITAL
Mi sijui chochote siku zote najua Iran ni waarabuMkuu, Iran si mwarabu na hana undugu wala urafiki na waarabu. Yeye na mwarabu ni maadui.
Alisikika Kiazi mmoja akisemaAnarukaruka tu ila muda wa kuiva umewadia
Hitler alifanikiwa kuwa na ushawishi mkubwa sana miongoni mwa raia wa Ujerumani.Sana yaani ...hata vita ya Nazi wa Ujerumani walikuwa na backup ya raia ndio maana Hitler alisumbua sana kwenye vita ile.. kama sio nguvu ya ziada ilitumika dhidi yake ungekuta ameitawala ulaya yote
Saud Capital ndio wapi? Saud Arabia au?BREAKING: EXPLOSIONS IN SAUDI CAPITAL
Viongozi wao ndio wanao tumika na IsrahellHii vitu haina siku zaid ya 2 inaisha hao waarabu wanaoshambuliwa kambi za USA nchini mwao watasababisha vita iishe mapema wananchi wao hawatakubali huu upumbavu