Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Anapigwa marekani hapo au unajifanya huelewi?Anajaribu ku trigger vita iwe ya eneo zima ila hajui kama wenzake tayari wanajua mchezo wake.
.
Atapiga piga ila mwishowe ataishiwa tu
Anapigwa marekani hapo au unajifanya huelewi?Anajaribu ku trigger vita iwe ya eneo zima ila hajui kama wenzake tayari wanajua mchezo wake.
.
Atapiga piga ila mwishowe ataishiwa tu
Kaa ignore tu wewe 🚮Vipi sheikh
nataka nijiunge na uislam
Kipi Cha muhimu hapa nifanye ili nipate mathawabu mengi
Niue wasioamini?
au nijitoe muhanga😋
Yeah dini ni ujinga ujinga ambao unaweza kutumika kukandamiza haki za wengineMnooo dini ndio chanzo Cha uovu
Sijui ila Iran anatumia cruise missiles hajaanza kutumia HYPERSONIC MISSILES HATA MOJA.Air defense hazifanyi kazi leo!?
Marekani na Israel wanataka kuangusha utawala wa Iran wakiwa hewani kama ilivyofanyika Libya ila tatizo Iran hakuna waasi rasmi wenye nguvu wa kuwasaidia kama ilivyokuwa Libya.Iran hanaga huo uwoga hawajawahi kuacha kujibu mashambulizi , wewe stay tune ujionee vita
Anapiga hovyo!?Sijui ila Iran anatumia cruise missiles hajaanza kutumia HYPERSONIC MISSILES HATA MOJA.
Anapiga tu hovyo kila penye kambi ya Marekani.
Nahisi Hizbollah inaweza kuhusika hivi punde pia.
Anapigwaje?Anapigwa marekani hapo au unajifanya huelewi?
Unajua maana ya reservists?BREAKING: 70,000 IDF reservists have been drafted - Jerusalem Post
Siku moja chini ya masaa 24 Israel imesajili Askari 70,000, Hawa ni askari wengi kuliko JWTZ wanaoweka kupata hata miaka 10
Mkuu tunza hayo maneno yako soon utaanza kusema pray for Iran au utaanza kusema Marecan anaonea. Hivi kweli mtu anakupiga kwenye ardhi yako kisha wewe unaliga kambi zake tena zipo ncgi nyingine hapo unajipongeza kweli? Marekani alishapima upepo amegundua wa Iran wengi hawaipendi serikali yao, hivyo soon vitazuka vikundi vya uasi ndani ya nchi vikisuportiwa na Marekani.Base ya US zimepigwa UAE Baharain, Jordan, Kuwait. Israel, Qatar wanajidai wanatungua Missiles hahaha
Hata Saud Arabia inasemekana Riyadh kumesikika milipuko.
Israel anazuia watu kutoa video hahaha
Safi sana Iran
Jerusalem vitu vimeshuka kama kawaida
Huyo ni KiaziUnajua maana ya reservists?
Well analysisMarekani na Israel wanataka kuangusha utawala wa Iran wakiwa hewani kama ilivyofanyika Libya ila tatizo Iran hakuna waasi rasmi wenye nguvu wa kuwasaidia kama ilivyokuwa Libya.
Labda jeshi la Iran na Raia wake waamue kuasi ndio hilo litafanikiwa kinyume na hapo mashambulizi yataisha na utawala utabakia.
Wazungu wao wenyewe wameelezea sana Hilo ulilolisema kwenye series ya the KnightfallYeah dini ni ujinga ujinga ambao unaweza kutumika kukandamiza haki za wengine