Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Unajua maana ya reservists?
reservists sio mgambo ni Askari wa Akiba

Israel inautaratibu wa Mandatory conscription, Kila Raia wa Israel ni Askari ambaye anaruhusiwa kwenda kambi yoyote ya Jeshi wakati wowote akiwa anataka, wote wanaruhusiwa kufanya mazoezi kila wanapotaka.

Israeli kila inapokuwa na vita au huitaji huita Raia wake kwa ajili ya kuwadeploy kwenye maeneo tofauti tofauti
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la parachin Tehran. Wananchi wa Iran wakifurahia mashambulizi hayo
Wanafurahi kwamba wao hawadhuliki au? Dawa yao na wenyewe watandikwe Risasi wasaliti hao.
 
Myahudi kachafukwa achana labisa na hao watu misri anawajua vizuri hao watu miungu yao kumi plus ilikung'utwa mpaka pharao akatema bungo na akawaachia waende nchi ya ahadi.
Hakuna cha myahudi nyuma yake yupo US , kipindi cha nyuma kabla ya teknolojia kukua umatumbini watu mlijazwa maujinga sana
 
Wisrael wana dini Yao inaitwa Jewish hawaamini katika ukristo na hawamtambui yesu kwanza ukimtaja yesu hadharani Israel ni kinyume Cha Sheria unafungwa

Ndio ujue dini ni mchongo na hizi dini mbili ziache kuwashobokea waisrael
Huko Israeli Jews ni asilimia 70 tu, wanafuatiwa na idadi kubwa ya waislam alafu Wakristo alafu Druze...na dini zote hizo zipo serikalini na hata jeshini...sasa shida ya kuwa Jew au ni nchi ya Israel?
 
😁😁 Jeshi la Mungu mwaka Jana walipigika vibaya na muajemi Israel ikawa uchi wanyama Kila mtu alijionea maajabu walivyo kuwa wana aminishwa kwamba Israel ni super power kumbe ilikuwa uongo bwana
 
Wisrael wana dini Yao inaitwa Jewish hawaamini katika ukristo na hawamtambui yesu kwanza ukimtaja yesu hadharani Israel ni kinyume Cha Sheria unafungwa

Ndio ujue dini ni mchongo na hizi dini mbili ziache kuwashobokea waisrael
Duh! Kwahiyo Yesu kwao hawamtambui?
 
💥💥💥
King'ora cha hatari kimelia wananchi wa Israel kuingia shelters
20260228_130841.jpg
 
Ubaya wa Iran ni kwamba anakosa hata sapoti ya wananchi

Hii ni mbaya sana maana hata wananchi wako wanaweza kushirikiana na maadui zako kukuangusha.

Ni sawa na kinachoendelea saizi hapa Tanzania halafu ikatokea tumevamiwa na US

Marekani ni mkorofi ila Sometimes nchi zingine zinafanya makosa makubwa ya kumpa sababu US.

Nchi ikiwa na utawala wa kiimla unaokandamiza haki za raia ikiwemo utekaji na mauaji, wananchi watachoka na kutamani kuona anguko la huo utawala.

Ni miezi kadhaa nimekuwa nikiona kwenye post za Trump kule IG raia wa Iran wana comment wakiomba Trump awasaidie, ni kama sisi tulivyokuwa tunafanya.
Usiamini propaganda za magharibi Iran ana support kubwa sana ya wananchi ingawa marekani na Israel wanapenyeza Kila aina ya fitina kuleta internal conflict and unrest.
 
Unajua maana ya reservists?
Ngoja niwe nakupa Elimu kidogo.

Israel kila mtu ni Askari kwenye kila kitengo cha Jeshi, ndani ya wiki na mwezi Jeshi lao linaweza fika watu 1M. Kwa sababu ya kitu kinaitwa Mandatory conscription, utaratibu huu ni tofauti kabisa na JKT ya Tanzania, ambapo JKT wao wanafundisha mafunzo ya awali na kwa muda mfupi, ila Israel wao kwenye conscription mtu anakuwa hadi Rubani wa Jeshi

STATUS UPDATE: Extensive Israeli Air Force strikes across Iran at this time; dozens of military targets bombed by IDF so far.Houthi preparations detected in Yemen to fire missiles at Israel.IDF called up 20,000 reserve soldiers to Air Force, Intel Branch, Home Front Command, Navy.Israel’s declared objective: Deliver heavy blow to Iranian regime and its capabilities.

https://x.com/WarMonitors/status/2027685809193652305
 
Wanafurahi kwamba wao hawadhuliki au? Dawa yao na wenyewe watandikwe Risasi wasaliti hao.
Wao wanataka utawala wa Ayatollah udondoke. Unafikiri siku Tanzania ikishambuliwa watu wkte watasikitika? Wapo mamilioni watashangilia, hivyo basi na nchi zingine ni hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom