Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kabisa Maana washia wakishapata influence watu wataacha kwenda mecca kuabudu kitovu Cha ibada kitahamia Kwa washia so USA Aana mkataba na Saudia wa kuilinda legacy ya mecca na kuitunza isipotee huku wao wanapewa wese
Washia huenda hija Makkah
 
beeeet.PNG
 
Kalaga baho! Israel italiliwa na dunia nzima mana ndo mission ya kupima uwezo wa bomu jipya la ibn qubul burdushaa

Juzi tu Israel iliomba msamaha na kikao juu Iran ikasema imewasamehe lakin kuna mabomu bado hayajatua toka yaagizwe yanakunywa maji katika ozone layer

Iran kuna watu ndio hawapendi utawala wa Ayatollah ila kwa Pamoja wairan wote wanaopenda na kumchukia Ayatollah hawawapendi Shah, Shah mwenyewe kila siku anasujudia ule ukuta israel
Inawezekana ila Iran haikua nchi ya kidini tokea hapo, ni mapinduzi ya kiislam ndio yaliyoifanya itoke kuwa nchi ya kawaida yenye uchumi wa juu hadi kuwa ya kidini...Dunia nzima Gen Z hawataki tena ishu za dini kama umegundua...so nchi yoyote inayoweka dini mbele lazima upate upinzani kutoka ndani
 
Duhh huo mlipuko umepigwa na kina nani !?
Naona media zote kubwa duniani ni breaking news ya iran under attack. Hii mbona ilionekana mapema tu kwamba iran inaweza kushambuliwa wakati wowote na ama marekani au israel. Sasa hapa ngoja iran ijititimue kujibu mashambulizi ndio itapigwa kisawasawa na marekani. Iran isijibu mashambulizi kama haitaki makubwa
Iran hanaga huo uwoga hawajawahi kuacha kujibu mashambulizi , wewe stay tune ujionee vita
 
Kumbe Trump ilimuuma Sana ile 2020 Iran alipofagia wanajeshi wake 100+ pale Iraq

🇮🇱🇺🇸❌🇮🇷 Trump:
“The threatening activities of the Iranian regime put the United States, our forces, our bases abroad, and our allies around the world at risk.

The Iranians killed hundreds of American soldiers in Iraq, and we will not tolerate that anymore.”

@Palestine_Updates
Mnoooo 🤣🤣🤣

Ile ilikuwa jeuri nzito
 
Back
Top Bottom