City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥
Viongozi kadhaa pia wa serikali wameuwawa.
Tutawajuza zaidi
Viongozi kadhaa pia wa serikali wameuwawa.
Tutawajuza zaidi
BREAKING: 70,000 IDF reservists have been drafted - Jerusalem Post
Siku moja chini ya masaa 24 Israel imesajili Askari 70,000, Hawa ni askari wengi kuliko JWTZ wanaoweka kupata hata miaka 10
Tarehe 29 oct wakati unavunja maduka ya watu na kuiba mbona hukufikiria watoto wa hizo familia wataishije?Wote wapo kwenye mfungo nani ataibuka mshindi kati ya wala tende na wanywa mvinyo wenye chachu?
Kinachoumiza ni watoto watakaokufa wasio na hatia.
Hakuna, hao wamejaa kiburi mkuu,Umejibu vyema mkuu. Lakini kuna hata dalili za Israel kujirudi na kumkubali Yesu Kristo? Maana walianza kuwatesa mitume hadi kuwaua . Vilevile Mitume Petro na Paulo ( aliyeitwa Sauli kabla) walipitia madhila mengi chini yao ikiwemo kufungwa jela.
UAE wehu 😁 so walitaka Iran wafanyaje !? Wawaache !? Majinga sana wao aliyewatuma wamruhusu USA aweke kambi zake kwao ni nani !?Mtu mmoja inaripotiwa ameuawa huko Abu Dhabi, mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya makombora kadhaa yaliyotoka Iran kuzuiliwa, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la UAE.
UAE imesema "shambulio hili ni uvunjaji mkubwa wa uhuru wa taifa lake na sheria za kimataifa". Imesema pia "inajihifadhi haki yake kamili ya kujibu ongezeko hili la shambulio".
Hata humo kwenye biblia hakuna hadithi ya Israel kumpiga mwajemi , zaidi ya ile hadithi ya esta na modrekay kuwa esta aliwaokoa wayahudi kuuwawa na amani chini ya mfalme Ahasuerus wa kiajemiUko hivyo kabisa unakuwa brainwashed
Hovyo niloimaanisha ni kuwa popote penye USA base yeye anafumua cruise missile tu.Anapiga hovyo!?
Iraq walitangaza kufunga anga,imekuwaje tena?Yani anga la Iraq na Syria ni hovyo kabisa...hawanaga air defenses
View: https://x.com/Osint613/status/2027688195496767743
Several senior Revolutionary Guards commanders and political officials have been killed in U.S.-Israel strikes.Source: Reuters
Israel kwenye vipaji na teknolojia hiyo inajulikana wapo juu mnoo. Ndio maana hakuna mtu wa kuisaidia Iran kwa sababu nchi kubwa zote za dunia zina uhusiano mzuri na Israel kwa kutegemea kunufaika na teknolojia ya raia wa Israel.Hakuna, hao wamejaa kiburi mkuu,
Ila baada ya muda watafanya hivyo.
Na wakifanya hivyo ndipo ile siku itakuwa imefika.
Until then Israel ni Taifa la kawaida tu ila lenye vipaji vingi.
Hii wala sio habari!Hizi nchi Tatu leo zitaruhusu Israel na Marekani kutumia Ardhi zao dhidi ya Iran
Wacha uwongo wewe wanao shangilia ni wale Majewish waliopo IranWananchi wa Iran wenyewe wanashangilia na wanasapoti USA ila kuna Iran feki huko bonyokwa na Kariakoo ndio wanaumia
View: https://x.com/Osint613/status/2027688195496767743
Several senior Revolutionary Guards commanders and political officials have been killed in U.S.-Israel strikes.Source: Reuters