Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kama ni mkristo lakini ukisoma Biblia utajua ni kwanini walisambaa Dunia nzima,

Na wakianza kurudi kwao nini kitatokea.

Waisraeli ni kweli walikuwa Taifa teule la Mungu, lakini baada ya kumkataa, ndipo akamtuma kristo kuja kujidhihirisha hapa Duniani.

Wakijirudi kwa Mungu title yao itarudi.
Umejibu vyema mkuu. Lakini kuna hata dalili za Israel kujirudi na kumkubali Yesu Kristo? Maana walianza kuwatesa mitume hadi kuwaua . Vilevile Mitume Petro na Paulo ( aliyeitwa Sauli kabla) walipitia madhila mengi chini yao ikiwemo kufungwa jela.
 
Screenshot_20260228-111410~2.jpg

Naona anga ya Iran Iko empty kabisa.. hamna shirika la ndege litakalo risk kupitisha ndege yake ya abiria hapo... Hii ina maana itakuwa wamesha declare Restricted Airspace
 
Yes. Na huyu Shah si ndio yuko uhamishoni huko nchi za Magharibi au ni mwanae na Shah Pavlav? Naomba msaada unijuze tafadhali
Nadhani ni mwanawe huyo. Maana huyo ndio alikuwa mrithi tarajiwa.
 
Huwez kuwa mkirsto ukachekelea watoto wakiisrael walivyoangamizwa na Iran kwa mgongo wa Hamas

halafu ujifanye unaihurumia Irani inayofadhil ugaidi
na inayo export religion kwa lengo la kuua ukristo
Mkuu mimi ninaamini kila mtu haijalishi ni nani ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Na sifurahii vita au mauaji ya mtu yoyote na sipo upande wowote. Sijawahi na sitawahi kufurahia pale ambapo mauaji ya mtu yoyote asiye na hatia yanafanyika. Na hakuna uzi wowote ambao kuna komenti yangu nikifurahia au kusherehekea mauaji ya mtu yoyote au vita yoyote.
 
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.

Vyombo vya habari vya Iran viliripoti mashambulizi katika maeneo mbalimbali nchini humo, huku moshi ukionekana ukifuka kutoka katika mji mkuu, Tehran.

Rais wa Marekani, Donald Trump, alisema kupitia video aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuwa Marekani imeanza operesheni kubwa za kijeshi nchini Iran. Alidai kuwa Iran imeendelea kuendeleza mpango wake wa nyuklia na ina mipango ya kutengeneza makombora yenye uwezo wa kufika Marekani.

Haikufahamika mara moja kama Khamenei mwenye umri wa miaka 86 alikuwa ndani ya ofisi zake wakati wa shambulio hilo, kwani hajaonekana hadharani kwa siku kadhaa huku mvutano kati ya Iran na Marekani ukiendelea kuongezeka.

Mashambulizi hayo yamekuja wakati Marekani ikiwa imekusanya idadi kubwa ya ndege za kivita na meli za kijeshi katika eneo hilo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuishinikiza Iran kufikia makubaliano kuhusu mpango wake wa nyuklia.

View attachment 3549827View attachment 3549826



----------

Israel launched what it called a “preemptive strike” against Iran Saturday morning, according to Defense Minister Israel Katz, as a state of emergency was declared across the country.

The government declared the state of emergency because of the expectation of Iranian retaliation with drones and ballistic missiles.

The U.S. and Israel launched an attack Saturday on Iran, with the first apparent strike happening near the offices of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.

Iranian media reported strikes nationwide, and smoke could be seen rising from the capital.

President Donald Trump said in a video posted on social media that the U.S. had begun “major combat operations in Iran.” He claimed Iran has continued to develop its nuclear program and plans to develop missiles to reach U.S.

It also wasn’t immediately clear whether the 86-year-old Khamenei was in his offices at the time. He hasn’t been seen publicly in days as tensions with the United States have grown. The attack comes as the United States has assembled a vast fleet of fighter jets and warships in the region to try to pressure Iran into a deal over its nuclear program.

Source: CNN
Kobazi zangu zimedunguliwa.
 
Hii vita iko staged, ni mtiti mkubwa, unaambiwa US begins major combat opperation in Iran. Iran itachanganyikiwa ishambulie wapi kati ya israel na base za marekani. Fikiria iran peke yake itawezaje kupigana na Israel na Marekani at the same time peke yake. Mind kuwa USA atakuwa na backup ya washirika wake wa NATO. Labda iran nayo ipate sapoti toka kwa washirika wake Urusi, china na korea kaskazini walau atajititimua kutupa kombora kadhaa zenye kuleta madhara makubwa kwa maadui zake. Sasa hii si itakuwa vita kuu ya tatu ya dunia kama washirika wa iran nao wataingia vitani kumsaidia mwenzao?
 
Marekani apigan na Iran direct, hao aliowatanguliza ndo watakoona kilicho cha moto. Yeye hata kama atashinda lakin nina hakika Israel hatakubali kutumika tena kama awamu hii. Hii itakuwa ya mwisho na fundishi kwake
Unajua maandalizi ya Navy aliyoyaweka US hapo middle east? USS Gerald Ford ipo hapo middle east otherwise hujalijua hilo dude.
 
Marekani apigan na Iran direct, hao aliowatanguliza ndo watakoona kilicho cha moto. Yeye hata kama atashinda lakin nina hakika Israel hatakubali kutumika tena kama awamu hii. Hii itakuwa ya mwisho na fundishi kwake
Mbona wewe hata kuandika hujui,je unaweza kujenga hoja kweli kuhusu haya mambo ya middle East?
Tulia Kaa kimya watu wajadili kwa undani mkuu
 
Back
Top Bottom