Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hii vita iko staged, ni mtiti mkubwa, unaambiwa US begins major combat opperation in Iran. Iran itachanganyikiwa ishambulie wapi kati ya israel na base za marekani. Fikiria iran peke yake itawezaje kupigana na Israel na Marekani at the same time peke yake. Mind kuwa USA atakuwa na backup ya washirika wake wa NATO. Labda iran nayo ipate sapoti toka kwa washirika wake Urusi, china na korea kaskazini walau atajititimua kutupa kombora kadhaa zenye kuleta madhara makubwa kwa maadui zake. Sasa hii si itakuwa vita kuu ya tatu ya dunia kama washirika wa iran nao wataingia vitani kumsaidia mwenzao?
China ni Paper Tiger hawezi vita huyo ni muoga mno, labda Urusi na Korea ya Kaskazini.
 
aaaaa1.PNG

Iran
 
Hii vita iko staged, ni mtiti mkubwa, unaambiwa US begins major combat opperation in Iran. Iran itachanganyikiwa ishambulie wapi kati ya israel na base za marekani. Fikiria iran peke yake itawezaje kupigana na Israel na Marekani at the same time peke yake. Mind kuwa USA atakuwa na backup ya washirika wake wa NATO. Labda iran nayo ipate sapoti toka kwa washirika wake Urusi, china na korea kaskazini walau atajititimua kutupa kombora kadhaa zenye kuleta madhara makubwa kwa maadui zake. Sasa hii si itakuwa vita kuu ya tatu ya dunia kama washirika wa iran nao wataingia vitani kumsaidia mwenzao?
Thubuutuu china asaidie vita?
Katika kitu ambacho Ukraine na Europe watafurahi ni kusikia Russia kajiingiza Iran.
Neither Putin nor Xi hakuna atakae msaidia Ayatollah.

Hata kama deal lilikua linamnyonya angekubali tu makubaliano, kwishaaa yeye
 
Hii vita iko staged, ni mtiti mkubwa, unaambiwa US begins major combat opperation in Iran. Iran itachanganyikiwa ishambulie wapi kati ya israel na base za marekani. Fikiria iran peke yake itawezaje kupigana na Israel na Marekani at the same time peke yake. Mind kuwa USA atakuwa na backup ya washirika wake wa NATO. Labda iran nayo ipate sapoti toka kwa washirika wake Urusi, china na korea kaskazini walau atajititimua kutupa kombora kadhaa zenye kuleta madhara makubwa kwa maadui zake. Sasa hii si itakuwa vita kuu ya tatu ya dunia kama washirika wa iran nao wataingia vitani kumsaidia mwenzao?
Labda Korea Kaskazini, lakini Urusi na China siyo Washirika wa kuwaamini linapokuja suala la Kukusaidia kivita..
 
Hii vita iko staged, ni mtiti mkubwa, unaambiwa US begins major combat opperation in Iran. Iran itachanganyikiwa ishambulie wapi kati ya israel na base za marekani. Fikiria iran peke yake itawezaje kupigana na Israel na Marekani at the same time peke yake. Mind kuwa USA atakuwa na backup ya washirika wake wa NATO. Labda iran nayo ipate sapoti toka kwa washirika wake Urusi, china na korea kaskazini walau atajititimua kutupa kombora kadhaa zenye kuleta madhara makubwa kwa maadui zake. Sasa hii si itakuwa vita kuu ya tatu ya dunia kama washirika wa iran nao wataingia vitani kumsaidia mwenzao?
Hapo kwenye washirika wa Irán kuingia vitani kumsaidia ndo kuna ugumu. Urusi yupo na Ukraine,China mmmmh binafsi sitarajii. Iran ni kama yatima hivi na pia usisahau Iran hana makubaliano ya moja kwa moja kusaidiana wakati wa vita kama ambayo NATO wana makubaliano ya moja kwa moja ya kusaidiana endapo mmoja wao atashambuliwa. Wenye makubaliano kama ya NATO ni Urusi na Korea Kaskazini ndio maana kuna wanajeshi wa Korea Kaskazini wamekufa kwenye vita ya Ukraine na wametambuliwa kama mashujaa wa taifa.
 
Trump kwenye mjadala wake na Biden alionekana kumshinda hoja Biden kwasababu ya vita zilizoanzishwa katika utawala wa Biden

Naye alisema akiwa raisi hakutakuwa na vita na hizo ambazo zimeanzishwa atakuja kuzimaliza ili dunia iwe na amani.

Mimi nilimuona snitch tangu siku ile ila Pro Russia waliona huyu ndio raisi wanayemtaka kwa kile tu kilichoonekana mwanzo kuwa Trump ana mahusiano mazuri na Putin kuliko Biden.

Nadhani sasa mmeanza kuelewa.
 
Sema ndio hivyo .. mwendo wa matukio
January alikuwa Maduro, February alikuwa El mencho Sasa tunaingia mwezi march tutapata breaking News ndani ya huo mwezi 📍📍
Acha tuone hali inakwendaje
 
Trump kwenye mjadala wake na Biden alionekana kumshinda hoja Biden kwasababu ya vita zilizoanzishwa katika utawala wa Biden

Naye alisema akiwa raisi hakutakuwa na vita na hizo ambazo zimeanzishwa atakuja kuzimaliza ili dunia iwe na amani.

Mimi nilimuona snitch tangu siku ile ila Pro Russia waliona huyu ndio raisi wanayemtaka kwa kile tu kilichoonekana mwanzo kuwa Trump ana mahusiano mazuri na Putin kuliko Biden.

Nadhani sasa mmeanza kuelewa.
Kwenye podcast yake na joe rogan, likipokuja suala la vita gaza/israel akasema hatosema ataimalizaje vita ila anajua jinsi ya kuimaliza ngoja aingie madarakani ,, na kuke russia/ukraine atamaliza ndani ya mwezi mmoja

Nikaswma hapa ni kama ccm kuingia madarakani tu ila hakuna kitu
 
Back
Top Bottom