City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Nitaleta updates zote za kweli na muhimu kwa harakaCity Thunder OKC mkuu nakutegemea kwenye update za hizi mambo
Nitaleta updates zote za kweli na muhimu kwa harakaCity Thunder OKC mkuu nakutegemea kwenye update za hizi mambo
Ha ha mikwara hiyoMasaa machache yajayo yatakuwa mabaya sana israel na marekani
tayari iran wamerusha mvua ya makombora now.. Ingia Aljazeera ujioneeIran italipizaji kisasi wakati USA imejipanga kuingia vitani kuibonda Iran? Iran ikae kimya tu mambo yasiwe makubwa, maana haitaweza kupigana na Israel na USA kwa wakati mmoja, mkumbuke kuna washirika wa NATO nao wataingia vitani kumsaidia mwanachama mwenzao USA
Mwaga updates mkui, nipo LIVE katika huu uzi.Nitaleta updates zote za kweli na muhimu kwa haraka
🤣🤣🤣Kobazi zangu zimedunguliwa.
Made in Russia 😎Unaambiwa ayatollah hayupo tehran, amekimbizwa kusikojulikana kwa usalama wake.
Habari ninazopenda kuzisikia.Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.He gave the death sentence to thousands of protesters.
Mkuu hayo mambo ya mashariki ya kati yapo complicated sana. Iran ni muislam lakini ana uadui mkubwa na waislam wenzie eg Saudi Arabia kwa sababu ya tofauti za kimadhehebu ( Shia na Sunni). Usitegemee Saudia au UAE wamsaidie Iran, SAHAU. Kwanza hao majirani wa Iran wanatamani Iran apigwe apigike. Kwao kifo cha utawala wa Iran ni shangwe na sherehe. Waislam ambao hawapo mashariki ya kati ndio wanawaona Iran kama muislam mwenzao,lakini waislam walio jirani na Iran hawampendi Iran hata bure. Ni maadui wa vizazi na vizaziWazee wa "Free Iran" "Pray for Iran" Yani Kobazi ni wanafiki wakutupwa yapo kimya tu wakati mwenzao anachapika, wanakuja kutia huruma kwenye social media. Useless kabisa
Ha ha ha hiyo Iran acha ichapike. Nchi ilikuwa inajinadi kufadhili ugaidi, ikamuua kijana wetu Mollel.Kwa hasira tu iran akishambulia base za marekani kama kulipisha kisasi atakuwa amechokoza dude kubwa, atapigwa mtungo, haitakuwa ajabu mwanachama wa NATO kuja kutupa silaha zake pale iran. Utashangaa taifa ambalo halina bifu na iran likaja kushambulia iran kuisaidia marekani kwa mgongo wa NATO. Vita vya ghuba ya uajemi mataifa ya NATO yalikuwa yanajipa jukumu la kushambulia, mara midege ya ufaransa, mara italy, mara ujerumani, mradi tu imepatikana fursa ya kila taifa kufanya majaribio ya silaha zake kali za kisasa
Anachokipata Iran aliwahi kupata mwingereza wakati wa vita kuu ya pili ya dunia .. Ilikuwa inaitwa Blitzkrieg yaani kwa kiswahili fasaha ni VITA YA RADI💥💥💥
Kambi ya jeshi ya Iran ya Seyyed Al shohada imeshambuliwa kwa makombora
Kinachonikera no kwamba Muajemi ana biti Kali lakini matendo ni Null and voidHa ha ha hiyo Iran acha ichapike. Nchi ilikuwa inajinadi kufadhili ugaidi, ikamuua kijana wetu Mollel.
Mungu anailindaAnaeilinda ni Mungu au US?
Acha MOTO umwagwe, mwaga moto US.💥💥💥
Kambi ya jeshi ya Iran ya Seyyed Al shohada imeshambuliwa kwa makombora