dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
palepale kwenye mshono
Na Achaemenid Empire (550–330 KK) ndio ilikua empire yenye uvumilivu mkubwa sana ,hasa kwenye maswala ya kiimani.So Kuna watu wanadhani kwamba waajemi ni wajinga wajinga
🤣🤣🤣🤣Iran nimeipenda strategy yake yeye kaona israel na USA nitasumbuana nao zaidi nikijikita kwao... Anachofanya yeye ni kupiga ndugu, jamaa, watoto wa kambo, na majirani uchwara wa Usa na israel.
Naimani hapa kutatokea mtifuano mkubwa sana kati ya Baba na wanawe, maana Baba anampiga ngumi adui yake....adui yake anaenda kupiga ngumi nzito watoto wa Baba.
Na Kwa Iran Hawana chakupoteza.Natabiri baada ya siku kadhaa za Mapigano upande mmoja utaomba usitishwaji wa mapigano baada ya kupata kile ambacho hawakukitarajia
Usije jikojolea Kitandani mchana amkaSasa hivi huyo shehe anakamatwa anaenda kuunganishwa na mtuhumiwa mwenzake yule bwana maduro
Wanapewa wanacho stahili , soon wataanza propaganda zaoKambi ya Uria Al ford inateketea.
Israel Galilee kunawaka moto.