RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Nawafurahisha Waarabu wa Buza.Mkuu hii kweli au unachngamsha kijiwe 😹
Nawafurahisha Waarabu wa Buza.Mkuu hii kweli au unachngamsha kijiwe 😹
Hili jamaa ni bonge la snitch
Ww ndo huna akili, kwahy ulitaka asichukue Tahadhari?
Ndio nguvu zao hizo hawana jipyaSijaidogosha Iran, ila nimeshangazwa na udhaifu wa shambulizi la mataifa mawili makubwa kijeshi dhidi ya Iran.
Makobaz bhana 😂MUWAFFAQ SALTI AIR BASE JORDAN IMEKWENDA NA MAJI.
MAJIVU TUPU.
PICHA ZIMETOKA ZA HOLON ISRAEL,MIUNDOMBINU YA KIRAIA NDIO ILIYOHARIBIKA ZAIDI IKIWEMO VITUO VIKUBWA VYA BASI.
Halafu wakati huo yeye ana manufacture Nuclear Weapons kila sikuHii dunia hii! Kwanini Iran asiachanena hizo nuclear weapons? Kwanini USA amzuie Iran kujifanyia mambo yake?
Hoja dhaifu ukiwapa wafadhili nuke sikuna siku watakugeuka hata wewe mwenyewe.. issue hapo wanaogopa endapo muajemi akiwa na nuke Atajigeuza kuwa kiranja hapo middle east so Mipango Yao mingi itakwama cause Iran influence ya Iran itazidi kuongezekaNaskia eti Iran anafadhili makundi mengi ya kigaidi kwa hiyo Marekani ina wasiwasi kuwa akimiliki hizo nuclear ataweza kuwapa hao magaidi wazitumie.
Hii ndio sababu ambayo nimekuwa nikiisikia ila sijui kama ina ukweli wowote.
💥💥💥💥
Taarifa rasmi, kamanda mkuu wa majeshi Iran kamanda Mohamed Pakpour amauwawa. Taarifa zaidi zitakujia
View attachment 3549970.
View: https://youtube.com/shorts/jWItFsQoAzM?si=DUUedUiOTyAAzKFz
Uwongo wote viongozi wa Iran muhimu wako daraja tatu wote wazima
Watu wengi hawaifahamu US nadhani wanadanganywa na vionline media ambavyo siku hizi vimeibuka vingi kweli vikipiga propaganda dhidi ya US na kuwapa kichwa wafuata mkumbo huku wakisahau wamiliki wa hiyo utuble enyewe ni wa US.Endeleeni na propaganda hata Saadam alifanya Spinning kuudanganya ulimwengu kuwa amedungua ndege 100 za US mwisho alikimbia kwenye handaki kujificha US akiingia kwenye vita huwa ana intels za kutosha Ya Sadam ile Mother of All Battle 1990 na 2003 inajirudia Iran..
Mkuu, hapa duniani usipokuwa na nuclear weapons haya mataifa makubwa yatakufanyia chochote na hakuna mtu atakusaidia.Hii dunia hii! Kwanini Iran asiachanena hizo nuclear weapons? Kwanini USA amzuie Iran kujifanyia mambo yake?
Adios amigo kama kawaida yako