Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Fake news
View: https://www.instagram.com/p/DVTGu2LGgGz/?igsh=MWthMmZuOWxxY28zcA==
Wote wako hai walisha jifunza makosa yao zamani kumuamini US yupo kwenye meza kumbe anajinda kupigana vita
Na yalivyo mataahira yashapata kichaka cha kuuza mafuta yao kwa bei juu..!!Ngoja na serikali yetu ipate visingizio mafuta yapande kila kitu kiwe ghali😢😢😢
Hahaaaaa!😂 😂 😂 😂 😂
🤣🤣Nani analia?
Ayatollah mwisho wake umewadia
Waajemi nadhani hauwafuatilii vyema waajemi sio wanyonge that's why unaona Tayari wameshaanza kugawa dozi pia na wao Je Maduro alishawahi kufanya hivyo !? Iran sio LibyaUzuri wa wajemi na waarabu kwa maneno na vitisho hawana mpinzani nikikumbuka ghadaf alivyokuwa akiwaita watu panya🤣😂 saddam alivyokuwa akitisha huko ME leo wote wapo kuzimu
Fake news
View: https://www.instagram.com/p/DVTGu2LGgGz/?igsh=MWthMmZuOWxxY28zcA==
Wote wako hai walisha jifunza makosa yao zamani kumuamini US yupo kwenye meza kumbe anajinda kupigana vita
Hahahaa.Dah!nimecheka mkuu.
Hii sina taarifa nayodreamliner yetu ilisharudishwa au bado imepaki huko kwa Mohammedans? ...
Kabisaa hapa ndipo walikuwa wanasubiri wapate pa kutokeaNa yalivyo mataahira yashapata kichaka cha kuuza mafuta yao kwa bei juu..!!
Si unakumbuka visingizio vya vita ya Ukraine🤣🤣😂 ccm banaNa yalivyo mataahira yashapata kichaka cha kuuza mafuta yao kwa bei juu..!!
mtu kawekwa kati atalipizaje kisasi? Labda ajitupia makombora yake kiholela, hawatamuacha afanye mashambuli mengi watamdhibiti tu. Anapigwa mtungo na mtu mbili. Jua kuwa alipo marekani kwenye vita na uingereza yupo plus ujerumani, ufaransa na italy. NATO wako stand by kuhakikisha mwanachama mwenzao USA hadhaliliki vitaniDuhh huo mlipuko umepigwa na kina nani !?
Iran hanaga huo uwoga hawajawahi kuacha kujibu mashambulizi , wewe stay tune ujionee vita
Waisraeli wameishika hazina ya marekani.Israel kwenye vipaji na teknolojia hiyo inajulikana wapo juu mnoo. Ndio maana hakuna mtu wa kuisaidia Iran kwa sababu nchi kubwa zote za dunia zina uhusiano mzuri na Israel kwa kutegemea kunufaika na teknolojia ya raia wa Israel.