Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
We wacha uwongo ulikuwepo Iran, au unawasikiliza mabwana zako USA.Khamenei na apigwe tu. Safari hii wala sitawatetea. Wameua maelfu ya Wairan wasio na hatia kisa wanaandamana tu.
Trump angamiza kabisa hao watu na ukiwa unarudi US pitia hapo Dodoma na Kizimkazi umpe hi ya bunker buster huyu ***.