Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran ana lengo la kuifuta Israel
Ona kama leo kajiamlia kupiga majirani zake wote bila sababu
Unahisi nikweli kawapiga hao bila sababu!? Nyie mnabeizi sana kuzifagilia Nchi za maghalib! Heti kapiga bila sababu
 
Huenda viongozi wa Iran hawatakuwa hai hadi kesho, hivyo panaachwa gap la nani awe kiongozi
Wapo hai na wametoka kuripoti sasa hivi kuwa jeshi liendelee na mashambulizi.
Ayatollah hadi wengine wote wapo hai. Tizama habari bro.
Pia wameshaweka succession tayari nani arithi kuendeleza utawala na vita.
 
Nyumbu jike mtaalam wa kuiba mitungi ya gesi, tangu serekali iimarishe ulinzi na kukuzuia kwenye shughuli yako ya wizi wa mitungi ya gesi kama ulivyofanya Oct 29 umeanza kuchanganyikiwa
We ***** peleka ashki zako majnuni huko kwa mabasha zako wa mbogamboga..!!
 
Hii dunia hii! Kwanini Iran asiachanena hizo nuclear weapons? Kwanini USA amzuie Iran kujifanyia mambo yake?
Mrusi ana Nyuklia kibao ingekua lengo ni Nyuklia Tu Mrusi angeweka Nyuklia kadhaa hapo kama Vile USA anavyoweka Nyuklia nchi nyengine.

Muiran anarutubisha Nyuklia, Cost ya Nyuklia ni kubwa kuianzisha ila rahisi Sana ukishatoboa, nchi yoyote ikishafika level hizo inaenda stage nyengine kitechnolojia na uchumi.

Angalia kama Mrusi anavyotumia Nyuklia kwenye Meli na vitu vingine vya kiraia, ni Next level, hawa jamaa wameweka Record Ya meli kukaa Muda mrefu Baharini bila kurudi nchi kavu sababu ya Energy inayotoka kwenye Nyuklia.
 
US na Israel wana kinyongo na wanajaribu kuficha aibu walioipata kwenye 12 days war...
Mataifa mawili yenye uchumi, silaha za kisasa kuichangia nchi yenye vikwazo karibu miaka 50 na bado wakashindwa.. ni jambo la aibu..

Ni kitu kinawasumbua sana...

Iran inaitishia Israel tokana na vikwazo kutoizuia kukua kiteknolojia na uwezo wa jeshi, wanataka iwe weak kama Yemen, Syria, Iraq an the like, ili Israe ikose mpinzani ME..

Ila tukumbuke Israel leo usiku inakwenda kupigwa vibaya... kama kawaida muajemi moto wake huwa ni usiku...
 
Back
Top Bottom