Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Nzuri kaka tumepoteana sana. Nitakutafuta tuzungumze kitu inbox ila ni kitu PRODUCTIVE.Hahaha!
Kwema! Kwema Kosugi!!! Unaendeleaje na hali huko?
Ndiyo walianza Marekani na Tomahawks (nimeona video kutoka page za Iraq)Kwani hizi attacks ni fighter jets tena? Damage ya 12 day war bado ipo according to analysts
Hana hizo anatumia ndegeIsrael hatumii ndege anatumia cruise missiles kwa mujibu waripoti.
MuongoWapo hai na wametoka kuripoti sasa hivi kuwa jeshi liendelee na mashambulizi.
Ayatollah hadi wengine wote wapo hai. Tizama habari bro.
Pia wameshaweka succession tayari nani arithi kuendeleza utawala na vita.
Muiran wa yombo dovya😀Muongo
Linapokuja suala la war strategies, waajemi always wapo mbele ya muda. Hawatumii hisia kufanya maamuzi.Iran imeanza war of attrition kwa kutumia cruise missiles. Hadi sasa hawajatumia hypersonic missile hata moja.
Ripoti zinasema Iran imeanza kupaisha ndege zake za J-10c na Mig-29 katika anga lake kuzuia cruise missiles za Israel.
View: https://youtu.be/vFGeDhpiMGA?si=MsxkKBNhN9ZOX712
Wayahudi wanasema hakuna anaye weza zuia Missiles za Iran yule Echolima1 atasafisha uharo 24/7 sijui hata kama ataweza kuja type hapa
Mbona kinyonge sana mkuuKuna vitu vinaumiza sana, ni basi tu ila Allah atayalipa yote haya
Karibu ndugu yangu 🙏Nzuri kaka tumepoteana sana. Nitakutafuta tuzungumze kitu inbox ila ni kitu PRODUCTIVE.
Asubuhi tu hawa wameangamizwa Chezea wana wa Israel wewe!! Njoo hapa utuambie Rais Masud na huyo Mfuga midevu na Majini Ayatollah wako wapi?Linapokuja suala la war strategies, waajemi always wapo mbele ya muda. Hawatumii hisia kufanya maamuzi.
We jamaa, kumbe we ni kosugi, kulikoni ID hii?Acha utani kaka!?
Za siku lakini(kosugi hapa).
Haitatokea kumkabidhi kichaa rungu???Uwongo hao hawafiki hata 10 walio jitokeza kumuomba Ayatollah aondoe Fatwa ya kukataza kumiliki Nuclear ni wengi sana wanataka Ayatollah atowe green light wawe na Nuclear Boom.
Unawapemda sana Iran. Ila this time wamefika mwisho wao.Linapokuja suala la war strategies, waajemi always wapo mbele ya muda. Hawatumii hisia kufanya maamuzi.
Wana udanganyifu wa kimkakati (strategic deception), huwezi tabiri next move wanafanya nini, na hapo ndipo huwauza Israel na wanapoteza muelekeo wa intelejensia yao.
Mfano Israel anashambulia akiwa anafahamu Iran itajibu kwa namna hii ama ile, halafu ajabu Iran inakaa siku 2 bila kujibu huku Israel ikiwa inajiuliza kuna nini kinaendelea, hio ndio strategic deception (udanganyifu wa kimkakati).
Iran pia wana uwezo wa juu wa kubadili mbinu kwa haraka(operational maneuvering).. kwa kifupi waajemi strategies zao za kivita inapelekea kuwa unpredictable .
Kitu ambacho kinapelekea adui atumie vibaya silaha zake, aingie kwenye mtego bila kujua au abadili mikakati..
Ile vita sya iku 12, US aliweka meli za kivita mashariki mwa bahari ya Mediterranean ili kulenga missiles za Iran, zile destroyers zilikuwa na interceptors aina ya SM-3, destroyers zililenga missiles hadi SM-3 zikawa zinaelekea kuisha..
Iran bila shaka atawaingiza tena cha kike safari hii maana hawaishiwi mbinu hao jamaa.. hapo unaweza shangaa inapita siku kadhaa hawarushi hypersonic kumpoteza adui, ama wakatumia silaha ambayo haijawahi kuonekana.
Ishu ya Iran kufadhili ugaidi ni ukweli au ni uongo?Naskia eti Iran anafadhili makundi mengi ya kigaidi kwa hiyo Marekani ina wasiwasi kuwa akimiliki hizo nuclear ataweza kuwapa hao magaidi wazitumie.
Hii ndio sababu ambayo nimekuwa nikiisikia ila sijui kama ina ukweli wowote.