Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

US na Israel wana kinyongo na wanajaribu kuficha aibu walioipata kwenye 12 days war...
Mataifa mawili yenye uchumi, silaha za kisasa kuichangia nchi yenye vikwazo karibu miaka 50 na bado wakashindwa.. ni jambo la aibu..

Ni kitu kinawasumbua sana...

Iran inaitishia Israel tokana na vikwazo kutoizuia kukua kiteknolojia na uwezo wa jeshi, wanataka iwe weak kama Yemen, Syria, Iraq an the like, ili Israe ikose mpinzani ME..

Ila tukumbuke Israel leo usiku inakwenda kupigwa vibaya... kama kawaida muajemi moto wake huwa ni usiku...
Ila wabongo 🤣
 
Muosha vyoo unatuletea story kutoka Tela Aviv za uwongo yuko hai huyo Kamanda.

Trump analia huko anasema hakutegemea Iran angepiga base zetu vile mara ya kwanza kwenye maisha yetu tunashambuliwa vile


View: https://youtube.com/shorts/pKiLCNKbCpc?si=AQ2V94ThvG8rpGPj

Hata kwenye vita ya siku 12 mlisema hivyo hivyo lakini mizoga ilipoanza kunuka ilibidi mkazike na habari zikiwa wazi hata hili sasa Matabana lakini lazima mtaachia tu!! Lakini ki ukweli keshaangamizwa wala si yeye tu ni wengi sana kupita wale wa vita ya siku 12
 
Mkuu kwani Iran haitaki kuteketeza hio manowari inayowapa kiburi USA? Akipiga air craft carrier moja atapigwa kipigo ambacho hakijawahi kutokea duniani.
US anasubiri nini kutoa hiko kipigoo ambacho hakijawahi kutokea...
US kambi zake zote zinafikika kwa middle east..
Hizo meli na kambi za US zilizopo middle east sio threat kwa Iran..
 
Ni mwendo wa kutembeza moto tu, hakuna kucheka na kima
aaae.PNG
 
US na Israel wana kinyongo na wanajaribu kuficha aibu walioipata kwenye 12 days war...
Mataifa mawili yenye uchumi, silaha za kisasa kuichangia nchi yenye vikwazo karibu miaka 50 na bado wakashindwa.. ni jambo la aibu..

Ni kitu kinawasumbua sana...

Iran inaitishia Israel tokana na vikwazo kutoizuia kukua kiteknolojia na uwezo wa jeshi, wanataka iwe weak kama Yemen, Syria, Iraq an the like, ili Israe ikose mpinzani ME..

Ila tukumbuke Israel leo usiku inakwenda kupigwa vibaya... kama kawaida muajemi moto wake huwa ni usiku...
Kazi yenu kulalamika na visingizio lukuki, Jana tu ulikuwa unaulizia lini Marekani wataishambulia Iran!! Kwa akili yako ulikuwa unajua wameiogopa Iran!! Acha Iran avune alichopanda
 
Kwa North Korea itakuwa ni ngumu mkuu kwa kuwa tayari ana nuclear bomu na anaweza kulitumia kama kinga ya vita. Pia North Korea sio tatizo sana kwa usalama wa Dunia na Marekani kwa kuwa anadeal na issue zake na raia wake.

Kinachomponza Iran azuiwe kumiliki nuclear nadhani ni tabia yake ya kufadhili vikungi vya kigaidi jambo ambalo Marekani anaona ni hatari kwa usalama wake na usalama wa dunia. Tupende tusipende Marekan ndio kiranja wa Dunia hivyo anapaswa kulinda usalama wa Dunia
Kabisa mkuu!.
Iran kwa mfano si hatari kwa Israel na marekani tu bali hata kwa waarabu wenzie angalia alivyowatupia mabomu leo..
hizo nchi mwanzo zilikuwa zinakataa USA kutumia kama uwanja wa kushambulia ila kwa kilichotokea lazima Iran ashikishwe adabu vinginevyo hata wao hawako salama
 
Kazi yenu kulalamika na visingizio lukuki, Jana tu ulikuwa unaulizia lini Marekani wataishambulia Iran!! Kwa akili yako ulikuwa unajua wameiogopa Iran!! Acha Iran avune alichopanda
Hawa hata Libya walikuwa wanasema West wanawaogopa, Gadafi akakutwa kwenye kalavati,Iraq walisema Sadam hagusiki watu wakamnyonga,Syria kwisha sasa huyu Iran naye kafikiwa.
 
Iran wanasema wanasubiri jua lizame wapate Iftar kwanza kabla ya swala ya tarawehe wanaanza operation promise 4 dhidi ya magaidi wa Israel kwahiyo subirieni kuona vimondo.

Hadi sasa kambi 14 za magaidi wa marekani mashariki ya kati zimechakazwa, target 50 zimepigwa ndani ya Israel, makombora 9 ya marekani kutoka kwenye zile meli zao yamekua intercepted na usiku Netanyahu ajiandae kupokea mvua ya makombora.
 
Tatizo Iran ana ballistic missile 🤣

So anakufuata huko huko , Iran sio Iraq ya Saddam Hussein

Iran anatuma vyombo
Israel na Marekani wanatuma ndege vita na ndege vita zenye watu.
Iran kushindwa ni uhakika.. wanachofanya ni kujitetea tuu lakini uwezo wa kushinda hawana
time wili tell, but still unaona jinsi iran inavyopokea kipigo, hii regime inaangushwa mjuba jionee mwenyewe

Iran kuangushwa sio rahisi kama washirika wake watakuwa naye Bega kwa Bega.
 
Back
Top Bottom