hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Kabisa 💯Hata vita iliyopita ulisema Iran itashindwa vibaya. Matokeo tuliyaona.
Kabisa 💯Hata vita iliyopita ulisema Iran itashindwa vibaya. Matokeo tuliyaona.
MhmmOkay son.Keep growing
Easier said than done.
Bado unaongea hisia.Kama ulitegemea maishani mwako kwambq Iran imtwange US sahau ndugu.
Hata kama huitaki US ila kichapo Iran tayari kishamwingia.
Mwenzako anakutwangia nyumbani kwako...wewe inajihami kujaribu kushambulia meli vita zake - ha ha ha
Hiki kipindi Iran wamekuwa jeuri na wana hasira..Viongozi wa ghuba sidhani kama walitegemea iwapo Iran angejibu kwa ukali namna hiyo walitegemea itaweka mipaka kwenye kushbulia kama ilivyo kuwa inafanya huko nyuma.
Wameshatoa hadi saa ni saa ngapi.Hiki kipindi Iran wamekuwa jeuri na wana hasira..
Na hata kukataa hayo mazungumzo walikuwa wameshaona Netanyahu analeta mazoea...
Usiku kuna dozi inakwenda Tel Aviv.
Anaitumia pia baada ya kuona kile ambacho alichokifanya mpinzani wao ni tofauti na walicho kuwa wana kitegemea,Wamarekani Wana hila Sana mkuu.
Hiyo ceasefire ni mbinu wanayoitumia inawapa faida.
Iran asifurahie Ceasefire maana haimfavour hata kidogo.
Atafute suluhu ya kudumu. Asisite. Kama anachomoka achomoke moja kwa moja.
Atoe kisago heavy kwa Israel liwe somo kwa wengine.
Lakini Wazungu wao hawataruhusu hivyo. Wanampumbaza mpaka watakapomfikia karibu kabisa asiwe na ujanja.
Marekani hawataki kutumia gharama kubwa na kuleta madhara makubwa kwa Israel ndio maana mbinu ya Ceasefire anaitumia
Netanyahu hajielewi, uwezo hana ila analazimisha tu.Ndio nachowaza pia Israel kalivyo kuwa kanchi kadogo wakipelekewa moto siku 4 tu lazima wataomba Pooh tupo hapa
Ayatollah Ali khamenei is eliminatedBado unaongea hisia.
Kwani ni mara ya kwanza Iran kushambuliwa na USA??
Je Iran ilianguka tangu hapo!??
USA hakumchochea Iraq na waarabu dhidi ya Iran 1980 na kuwapa sapoti ya jeshi waiangushe Iran?
Je Iran ilianguka!?
Tumia facts sio hisia.
😁😁😁😁Labda hufuatilii habari.
Silaha alizotumia Iran kwa mujibu wa ripoti zote za zamani.
Bado ana stockpile ya missile mpya ambazo hajarusha hata moja.
Na wametoa tangazo kuwa baada ya swalatul ishaa wanaanza JIHADI waliyokusudia.
ni muhimu kufahamu kwamba vita haina macho na lazima ipiganwe na walio tayari kufanya hivyo.Wote wapo kwenye mfungo nani ataibuka mshindi kati ya wala tende na wanywa mvinyo wenye chachu?
Kinachoumiza ni watoto watakaokufa wasio na hatia.
Tulia wewe hujui lolote. Unafikiri vita ni sawa na kuiba masanduku ya kura za uchaguzi bata wee.Bado unaongea hisia.
Kwani ni mara ya kwanza Iran kushambuliwa na USA??
Je Iran ilianguka tangu hapo!??
USA hakumchochea Iraq na waarabu dhidi ya Iran 1980 na kuwapa sapoti ya jeshi waiangushe Iran?
Je Iran ilianguka!?
Tumia facts sio hisia.
US na Israel wanatapatapa, wanajaribu kutumia kila njia kuiangusha Iran, maandamano Iran si mara ya kwanza, lakini Israel inapoingia kushambulia wananchi wanamuunga mkono Ayatollah...Isije ikawa Marekani na Israel wapo mbele ya muda kwenye hili!
Kwamba walianza kuichonganisha serikali na wananchi kupitia maandamano wakijua kabisa wakilianzisha wataungwa mkono na wananchi.
Ila kuna watu mna mahaba na roho ngumu za ajabu.Bado unaongea hisia.
Kwani ni mara ya kwanza Iran kushambuliwa na USA??
Je Iran ilianguka tangu hapo!??
USA hakumchochea Iraq na waarabu dhidi ya Iran 1980 na kuwapa sapoti ya jeshi waiangushe Iran?
Je Iran ilianguka!?
Tumia facts sio hisia.
Anaitumia pia baada ya kuona kile ambacho alichokifanya mpinzani wao ni tofauti na walicho kuwa wana kitegemea,
Bado unaongea hisia.
Kwani ni mara ya kwanza Iran kushambuliwa na USA??
Je Iran ilianguka tangu hapo!??
USA hakumchochea Iraq na waarabu dhidi ya Iran 1980 na kuwapa sapoti ya jeshi waiangushe Iran?
Je Iran ilianguka!?
Tumia facts sio hisia.
Zamu yenu veggies inakujani muhimu kufahamu kwamba vita haina macho na lazima ipiganwe na walio tayari kufanya hivyo.
na hayo ni matokeo ya kiburi na ubabe useless