Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

US chapa hao wapuuzi kisawasawa.
Jana kapeleka SU - ndege vita latest ya mrusi - fuatilia zilienda ngapi kupiga meli vita za US na US base je zimerudi ngapi?

Kuna wajinga humu wanaongea as if hawana vichwa.
 
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.

Vyombo vya habari vya Iran viliripoti mashambulizi katika maeneo mbalimbali nchini humo, huku moshi ukionekana ukifuka kutoka katika mji mkuu, Tehran.

Rais wa Marekani, Donald Trump, alisema kupitia video aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuwa Marekani imeanza operesheni kubwa za kijeshi nchini Iran. Alidai kuwa Iran imeendelea kuendeleza mpango wake wa nyuklia na ina mipango ya kutengeneza makombora yenye uwezo wa kufika Marekani.

Haikufahamika mara moja kama Khamenei mwenye umri wa miaka 86 alikuwa ndani ya ofisi zake wakati wa shambulio hilo, kwani hajaonekana hadharani kwa siku kadhaa huku mvutano kati ya Iran na Marekani ukiendelea kuongezeka.

Mashambulizi hayo yamekuja wakati Marekani ikiwa imekusanya idadi kubwa ya ndege za kivita na meli za kijeshi katika eneo hilo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuishinikiza Iran kufikia makubaliano kuhusu mpango wake wa nyuklia.

View attachment 3549827View attachment 3549826



----------

Israel launched what it called a “preemptive strike” against Iran Saturday morning, according to Defense Minister Israel Katz, as a state of emergency was declared across the country.

The government declared the state of emergency because of the expectation of Iranian retaliation with drones and ballistic missiles.

The U.S. and Israel launched an attack Saturday on Iran, with the first apparent strike happening near the offices of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.

Iranian media reported strikes nationwide, and smoke could be seen rising from the capital.

President Donald Trump said in a video posted on social media that the U.S. had begun “major combat operations in Iran.” He claimed Iran has continued to develop its nuclear program and plans to develop missiles to reach U.S.

It also wasn’t immediately clear whether the 86-year-old Khamenei was in his offices at the time. He hasn’t been seen publicly in days as tensions with the United States have grown. The attack comes as the United States has assembled a vast fleet of fighter jets and warships in the region to try to pressure Iran into a deal over its nuclear program.

Source: CNN
Iran kareact kivingine kaanza na base za US zilizopo Jordan,UAE, Bahrain, Qatar,Kuwait,kamalizana nao,usiku wa leo anaanza kudondosha kwa Myahudi. Hii ndio inaitwa rafiki wa adui yako ni adui yako bado hapo Myemeni nae,Saudi nae nae anakaa kwa mashaka kwani US ana kambi za kutosha kwenye ardhi yake. Baada ya zile propaganda za maandamano kuchemka naona wameamua kwenda front wenyewe....... ngoja tuone. Tujiandae tu na bei ya wese kupanda maana Iran akifunga mfereji Hormuz,hali itakuwa mbaya. Huyo ndio US na Mwanae akitaka lake hajali atatumia njia yoyote halali,haramu yy hajali.
 
Nyumbu jike unatamani kuiba mitungi ya gesi kama Oct 29 ila ukikumbuka zile risasi unaishia kutukana mitandaoni
Duli hajakupa buku saba ya mkorogo?
Hebu kakaushe mkd wako juani ukakuke ukampe duli..!!
 
wacha waendelee kuficha
reeet.PNG
 
Jana kapeleka SU - ndege vita latest ya mrusi - fuatilia zilienda ngapi kupiga meli vita za US na US base je zimerudi ngapi?

Kuna wajinga humu wanaongea as if hawana vichwa.
Na Leo imekuwaje!?
 
⭕يقول مهدي خانالي زاده:
بعد ساعات قليلة من العملية الإيرانية الواسعة ضد القواعد الأمريكية في المنطقة، بعث دونالد ترامب برسالة إلى طهران عبر إيطاليا وطالب بوقف فوري لإطلاق النار.

Trump anaomba Iran isimamishe vita bada ya kupokea kipigo kikubwa kwenye base zao. Katuma ujumbe kwa njia ya Italy.
 
Back
Top Bottom