Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
huenda ikawa hivyo maelfu ya miaka ijayo aiseIpo siku kitamlamba kwa Uchokozi wake
huenda ikawa hivyo maelfu ya miaka ijayo aiseIpo siku kitamlamba kwa Uchokozi wake
Nyie jeshi lenu la kuvunja tofali lina vifaa vya kufika wapi? 😹hana vifaa vya kufika US,
Na US kamwe haiwezi kukubali kuruhusu Iran kufanikiwa kutengeneza silaha za kufika US.
Na kamwe US haiwezi kuzichokoza nchi zenye vifaa na silaha ambazo zina uwezo wa kufika US kama Urusi, North Korea n.k
Hili li mbulu lijinga nakukabidhi weweNyie jeshi lenu la kuvunja tofali lina vifaa vya kufika wapi? 😹
YUPO HAI NA NI CONFIRMED.Ayatollah Ali khamenei is eliminated
Nitaku to mber wewe endelea kunifata fata 😹huo si unaujua wewe tu my lady
kamwe US hawezi kuichokoza Tz,Nyie jeshi lenu la kuvunja tofali lina vifaa vya kufika wapi? 😹
Ooh ooh,Nitaku to mber wewe endelea kunifata fata 😹

pwagu na pwaguzi wanafarijiana kindezi kweli dahHili li mbulu lijinga nakukabidhi wewe

😹😹😹 Nyie machawa hamjawahi kumiliki akili..!!kamwe US hawezi kuichokoza Tz,
atajuta,
by the way anaujua vizuri sana motro wa JWTZ na kwahivyo hawezi kuthubutu chochote kwa TZ
Hii vita Trump atawajibika..Ripoti zinasema kuwa wanajeshi wa US NAVY 13 wameuawa katika makao makuu ya US NAVY 5th FLEET nchini BAHRAIN.
Na makumi wamejeruhiwa.
Unaukosha saana moyo wangu.Ipo siku hata mbuyu ulianza km mchicha, sema tunaponzwa na machoko km kina lucha badala ya kutetea nchi yenyewe yanaenda kumpa duli kiboga..!! 😹
Jeshi la Iran wanareport kama Lisaa lililopota wamekula vichwa vya warship kadhaa, wamesema ni MST, pengine wanaogopa kureveal location hali Tete.Hivi ina maana hata hizo missiles zimefika Israel si hypersonic..
Nini maana ya kupaki manowari na destroyers karibu na Iran..
Ina maana hata cruise missiles wameshindwa kuzipangua?
Aisee hii ni hatari..
Hana ubabe wowote, wenzie wanamtombea ndani kwake yeye anapiga mayowe nje..!!
Si dharau hizo?!! 😹
Hebu amfate kwake km kweli mwanaume..!!
Twende kazi mkuu💥
Back again get ready for the updates
Mtu akiwa anandika hivi(kitu cha uongo), huwa anapata ahueni gani?Ripoti zinasema kuwa wanajeshi wa US NAVY 13 wameuawa katika makao makuu ya US NAVY 5th FLEET nchini BAHRAIN.
Na makumi wamejeruhiwa.