Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Easier said than done.
Binafsi naona huu wakati mafanikio huenda yakawa makubwa kulilo Mwaka jana sababu Marekani na Israel wamejiunga kwa wakati 1
Mwaka jana Israel alianza kisha Marekank akaja malizia

Kwa sasa anga la Iran naona Israel kama katawala au atalitawala lote usiku huu
 
Punguza ushauri, watu tuko busy..!!
Anza kumshauri mama yako ajiandae na ICC
ni muhimu sana kuwashauri mamaluki malofa wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, hasa wale ambao mna uelewa na ufahamu mdogo zaidi kuhusu mambo haya.

maana mnabebwa ufala wa kifikra kirahisi sana aise ndrugu zangu
 
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.

Vyombo vya habari vya Iran viliripoti mashambulizi katika maeneo mbalimbali nchini humo, huku moshi ukionekana ukifuka kutoka katika mji mkuu, Tehran.

Rais wa Marekani, Donald Trump, alisema kupitia video aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuwa Marekani imeanza operesheni kubwa za kijeshi nchini Iran. Alidai kuwa Iran imeendelea kuendeleza mpango wake wa nyuklia na ina mipango ya kutengeneza makombora yenye uwezo wa kufika Marekani.

Haikufahamika mara moja kama Khamenei mwenye umri wa miaka 86 alikuwa ndani ya ofisi zake wakati wa shambulio hilo, kwani hajaonekana hadharani kwa siku kadhaa huku mvutano kati ya Iran na Marekani ukiendelea kuongezeka.

Mashambulizi hayo yamekuja wakati Marekani ikiwa imekusanya idadi kubwa ya ndege za kivita na meli za kijeshi katika eneo hilo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuishinikiza Iran kufikia makubaliano kuhusu mpango wake wa nyuklia.

View attachment 3549827View attachment 3549826



----------

Israel launched what it called a “preemptive strike” against Iran Saturday morning, according to Defense Minister Israel Katz, as a state of emergency was declared across the country.

The government declared the state of emergency because of the expectation of Iranian retaliation with drones and ballistic missiles.

The U.S. and Israel launched an attack Saturday on Iran, with the first apparent strike happening near the offices of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.

Iranian media reported strikes nationwide, and smoke could be seen rising from the capital.

President Donald Trump said in a video posted on social media that the U.S. had begun “major combat operations in Iran.” He claimed Iran has continued to develop its nuclear program and plans to develop missiles to reach U.S.

It also wasn’t immediately clear whether the 86-year-old Khamenei was in his offices at the time. He hasn’t been seen publicly in days as tensions with the United States have grown. The attack comes as the United States has assembled a vast fleet of fighter jets and warships in the region to try to pressure Iran into a deal over its nuclear program.

Source: CNN

View: https://youtu.be/_DaBbqAyNbg?si=ouptjzrQs199xJ0n
 
🤓🤓
Namuonea huruma Iran. Kwa sababu anachofanyiwa ni ubabe wenye dhulma lakini nani wakumsaidia?
Mkuu hii dunia haijawahi kuwa na huruma bali kinacho angaliwa ni maslahi tu.
Iwapo Iran itafanikiwa kuchomoka kwenye huu mtihani anatakiwa kufanya afanyavyo kuhakikisha anapata silaha za nyuklia ili kujihakikishia usalama wake tofauti na hapo wataendelea kumuandama na mwisho wa siku watafanikiwa kumuangusha.
Huwezi kuwa mpinzani wa sera za Marekani na washirika wake alafu isiwe na silaha za maangamizi utegemee kubaki salama.
Nina kuhakikishia china 🇨🇳 ingekuwa haina silaha za nyuklia wangekuwa walisha ivamia na kuisambaratisha.
 
veeq.PNG
 
💥💥
Waziri wa mambo ya nje wa Iran anasema kwa namna anavyofahamu, Ayatollah Khamenei na Raisi wa Iran wote wapo salama
 
Back
Top Bottom