Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Huna akili...sasa kashambuliwa ulitaka apanue mattaQoIran kwa nini anapigana vita ambayo hata iweza
Huna akili...sasa kashambuliwa ulitaka apanue mattaQoIran kwa nini anapigana vita ambayo hata iweza
Mbumbumbu lingine hili hapa, ngoja nikufahamishe kwa kifupi, kwa mfano una ugomvi na jamaa yeye anaishi kibaha wewe Tabata...jamaa na timu yake wanatoka kibaha wanaweka kambi nyingi hapo Tabata wanaanza kukubokoa, wewe kazi yako kujihami hushambulii na ukishambulia inashambua kambi zao ila kwao Kibaha kuzima - sasa kuna vita hapo ndugu ama kubokolewa.
Nilitegemea muda huu ballistics missile zishatua Washington DC.
Acheni ujinga wenu, hapo hamna vita ni US anataka kumshikisha mtu adabu.
anawachota vilaza humu kuwa ndugu mbunge 😅😹😹😹 Huyu taahira mnyamwanga mweusi ana bichwa kubwa ndiomana akili hana..!!
We mnyamwanga tuliza mshipa mi sio wifi yako okay? 😹ila pwagu na pwaguzi ni watu ndezi sana aise,
mnashauriana nonsense na mnaelewana kinyama dah,
kumbaf sana aise![]()
kamwe hua sielezi uongo gentleman,Yeah , tunaelewana mno , ila wewe mmbulu watakupaka mafuta , wewe ni kibaka tu huna lolote kawadanganye wanaosinzia
Mbunge wa machawa wenzie lucha na mwashambwa 😹anawachota vilaza humu kuwa ndugu mbunge 😅
Nilikutana na hawa vilaza waliitwa na katibu mkuu sisiem wilaya fulani , ni machoko kinouma🤣We mnyamwanga tuliza mshipa mi sio wifi yako okay? 😹
bado mnapotoshana sio pwagu na pwaguzianawachota vilaza humu kuwa ndugu mbunge 😅

Ndio maana anapiga kambi zake, baada ya kuzishambulia hawatokuwa na uwezo a kuishambulia Iran labda watokee Israel ambapo usiku huu dozi inaanza.Mbumbumbu lingine hili hapa, ngoja nikufahamishe kwa kifupi, kwa mfano una ugomvi na jamaa yeye anaishi kibaha wewe Tabata...jamaa na timu yake wanatoka kibaha wanaweka kambi nyingi hapo Tabata wanaanza kukubokoa, wewe kazi yako kujihami hushambulii na ukishambulia inashambua kambi zao ila kwao Kibaha kuzima - sasa kuna vita hapo ndugu ama kubokolewa.
Nilitegemea muda huu ballistics missile zishatua Washington DC.
Acheni ujinga wenu, hapo hamna vita ni US anataka kumshikisha mtu adabu.
Wewe kilaza mda mrefu nimekupumzisha sana, 😅bado mnapotoshana sio pwagu na pwaguzi![]()
calm down plz my lady,We mnyamwanga tuliza mshipa mi sio wifi yako okay? 😹

Last time walichomwa na shirika la Nyuklia, this time Iran waliusoma mchezo mabomu yote yamemiss, confirmed Raisi, waziri wa mambo ya nje na hao wakuu wa Jeshi na Ayatollah mwenyewe wapo salama.
Hawawezi kuruhusu kwa sababu wanajua kuwa Iran ikimiliki silaha za nyuklia na nchi nyingine hapo Mashariki ya kati zitaanza harakati za kimiliki hizo silaha hivyo itakuwa mwisho wa ubabe wao wa kijingaUpo sahihi.
Naamini baada ya Ile vita ya Siku 12 Iran iliona umuhimu wa kuwa na Nuklia sio ajabu Siku hizi chache ilikuwa inafanya himahima. Lakini Wamarekani ni kama hawataki hilo kutokea
nachapa kazi za wananchi gentleman kwa bidii sana,Wewe kilaza mda mrefu nimekupumzisha sana, 😅
