min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Unachapa kazi au unachapwa kazi 😅nachapa kazi za wananchi gentleman kwa bidii sana,
sibabaiki na habari ya kupumzika wala kupumzishwaa,
mimi ni kazikazi tu![]()
Unachapa kazi au unachapwa kazi 😅nachapa kazi za wananchi gentleman kwa bidii sana,
sibabaiki na habari ya kupumzika wala kupumzishwaa,
mimi ni kazikazi tu![]()
Mhm.!! Huo sasa upimbi.USA anampiga Iran kutokea kambi zake za Mid east. Kama USA atamshambulia Iran kutoka Washington hapo ndio tutasubiri mengine.
💥💥💥💥
Palm hotel and resort Dubai, ikiungua muda huu kufuatia mashambulizi ya makombora ya Iran
View attachment 3550099
Huu mgogoro ni zaidi ya kumiliki silaha za nuke...Hawawezi kuruhusu kwa sababu wanajua kuwa Iran ikimiliki silaha za nyuklia na nchi nyingine hapo Mashariki ya kati zitaanza harakati za kimiliki hizo silaha hivyo itakuwa mwisho wa ubabe wao wa kijinga
Iran hawapigi Qatar au UAE anapiga kambi za wamarekani na mali zao muwe mnaelewa siyo mnakurupuka.Mashambulizi ya sasa yamemuumiza Iran ndio maana ameanza kuwashambulia akina Qatar hili waforce mazungumzo
Hakuna taifa teule la Mungu,vinginevyo huyo Mungu atakuwa si mtenda haki,hii vita acha mwenye nguvu ashinde lakini usimtie Mungu kwenye vita isiyojulikana kichwa wala miguuPiga hao kobazi wote mpaka wa humu JF ili dunia ielewe kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu.
Hii taka taka mwashamba kule club house ya diaspora alikimbia spanaMbunge wa machawa wenzie lucha na mwashambwa 😹
kazikazi gentleman,Unachapa kazi au unachapwa kazi 😅
🖕kazikazi gentleman,
hakuna mbambamba
Ameongea na Italia iwaombe Iran kusimamisha vita 🤣🤣Habari zinasambaa kuwa Trump ametaka usitishwaji vita kupitia Italy.
Hili sijui kama lina confirmation wacha tuone.
relax gentleman,Hii taka taka mwashamba kule club house ya diaspora alikimbia spana
Baada ya hapo anakimbilia X kuandika wameizuia Iran urutubishaji wake wa nuclear na kuirudisha nyuma kwa miaka mitano... tumemzoeaHabari zinasambaa kuwa Trump ametaka usitishwaji vita kupitia Italy.
Hili sijui kama lina confirmation wacha tuone.
Si utakua ni uchizi upige Marekani ilhali aliyekushambulia yupo hapo hapo!??Mhm.!! Huo sasa upimbi.
Yani mwenzie anamtwanga kwake na kumuulia raia wake..!! Inatakiwa naye apige Washington ili aumie..!!
Sasa hizo kambi huoni km Marekani haumii!! Iran anapoteza raia na wanajeshi wake..!!
Raisi wa Iran katweet, mtoto wake Ka confirm na vyombo mbalimbali vimeripotiHebu tuwekee chanzo cha taarifa
nadhani ni muhimu niwaone nyie vijana kama hamtojali next weekMbunge wa machawa wenzie lucha na mwashambwa 😹