Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ameongea na Italia iwaombe Iran kusimamisha vita 🤣🤣
Hili linaweza kuwa kweli kwasababu kuu 2.
1.Vifo vya wanajeshi wa Marekani vilivyoripotiwa hadi sasa ni 14. Hatujui nao Kuwait,Qatar,Jordan wakiripoti vitafika vingapi.
Ukichanganya na meli moja ambayo ni supporter fleet imezamishwa na ni CONFIRMED.Ndani pia kuna askari.
2.Radar yao kuu ya Qatar imelipuliwa itakua ngumu wao ku monitor mashambulizi ndani ya Iran wala kuona mashambulizi yanayotoka Iran.
 
Hivi ina maana hata hizo missiles zimefika Israel si hypersonic..
Nini maana ya kupaki manowari na destroyers karibu na Iran..
Ina maana hata cruise missiles wameshindwa kuzipangua?
Aisee hii ni hatari..
Majinga sana propaganda nyingi uhalisia 0
 
Israel inazidiwa strategies hata na hamas..
Unaelewa 12 days war, Israel iliiomba US kuongea na Iran kuhusu kusitisha vita? Iran ikaipiga Israel shambulizi la mwisho ndipo wakakaa mezani.

Ina maana Israel ingejibu Iran ingejibu na vita ingeendelea, kwa maana ile Israel alikubali vita isimame...

Usije kusema nawadogosha Israel, kitendo cha hamas kuficha mateka ndani ya Gaza hadi Israel ikakubali kuachia wafungwa wa Kipalestina uelewe Israel ilizidiwa intel na strategy...

Israel ni wazuri kwenye intel, covert operations na kufanya sabotages, ila kivita ni weupe, strategies za kivita weupe..
Uislam na waumini wake wamejaa uongo na propaganda


Israel Aliua All top IRGC commanders na Bado unakuja hapa unasema Israel alipigwa 😁


Weka picha hata Moja nioneshe kamanda yoyote wa Israel alieuliwa na hao wahuni wa Iran
 

Attachments

  • Screenshot_20260228-184517.png
    Screenshot_20260228-184517.png
    206.1 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260228-184517.png
    Screenshot_20260228-184517.png
    206.1 KB · Views: 14
Uislam na waumini wake wamejaa uongo na propaganda


Israel Aliua All top IRGC commanders na Bado unakuja hapa unasema Israel alipigwa 😁


Weka picha hata Moja nioneshe kamanda yoyote wa Israel alieuliwa na hao wahuni wa Iran
 

Attachments

  • GtZBtcMXoAAaSww.png
    GtZBtcMXoAAaSww.png
    393.6 KB · Views: 17
Uislam na waumini wake wamejaa uongo na propaganda


Israel Aliua All top IRGC commanders na Bado unakuja hapa unasema Israel alipigwa 😁


Weka picha hata Moja nioneshe kamanda yoyote wa Israel alieuliwa na hao wahuni wa Iran
Kuua top commanders ndio kushinda vita!?
Imeleta faida gani wao kuua hao makamanda ilhali Iran ilichagua makamanda wapya na ikaendelea na vita!?
 
Habari zinasambaa kuwa Trump ametaka usitishwaji vita kupitia Italy.
Hili sijui kama lina confirmation wacha tuone.
Trump anataka kucheza kula mbakishie baba na mzee wa uswazi Ayatollah.
Atadondosha vijiti mpaka basi.
Leo Iran inarusha missiles kama imechanganyikiwa, mara Kuwait, mara Dubai ukikaa kidogo unasikia Qatar inawaka.
Trump amejua kujikanyaga safari hii.
 
Mkuu hii dunia haijawahi kuwa na huruma bali kinacho angaliwa ni maslahi tu.
Iwapo Iran itafanikiwa kuchomoka kwenye huu mtihani anatakiwa kufanya afanyavyo kuhakikisha anapata silaha za nyuklia ili kujihakikishia usalama wake tofauti na hapo wataendelea kumuandama na mwisho wa siku watafanikiwa kumuangusha.
Huwezi kuwa mpinzani wa sera za Marekani na washirika wake alafu isiwe na silaha za maangamizi utegemee kubaki salama.
Nina kuhakikishia china 🇨🇳 ingekuwa haina silaha za nyuklia wangekuwa walisha ivamia na kuisambaratisha.
China Hana dini Ambayo siku moja wanapanga kuja kuitawala Dunia na atakaepinga atauawa.


Na yeye angekuwa jihadist tungemlamba kichwa.


Yeye aendeleee kuwa global manufacturing house power
 
Iran si mchezo, inatuma salamu kambi zote kwa wakti mmoja.
Wakimaliza hapo inaanzwa Tel Aviv, na hii vita ili kusudi waombe cease-fire, Iran iitandike Israel mpaka wananchi watoke mashimoni kama zombies...
mnajiandikiaga tu, yaani ipige tu bila kupigwa?
 
China Hana dini Ambayo siku moja wanapanga kuja kuitawala Dunia na atakaepinga atauawa.


Na yeye angekuwa jihadist tungemlamba kichwa.


Yeye aendeleee kuwa global manufacturing house power
Funny thing Umuelezea exactly Israel,

Hilo eneo la Israel ndio kuna dini kongwe na madhehebu ya zamani yote historically Waroma na mpaka Leo Waisrael wanawatarget na kuwaua.
 
Back
Top Bottom