Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Screenshot_2026-02-28-19-10-22-66_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg


Oooh!
 
Mimi nimeweka maandiko. Wewe umekuja na maneno yako mwenyewe!

Unyakuo ni mwishoni.

Maelezo yangu yako hapa:

Post in thread 'Hivi punde tu Yesu anachukua/nyakua watakatifu wake walioko duniani..in no time..watu watanyakuliwa. Muda umefika' Hivi punde tu Yesu anachukua/nyakua watakatifu wake walioko duniani..in no time..watu watanyakuliwa. Muda umefika



I'm with this pastor concerning the rapture:


View: https://youtu.be/nbLYrrHGO0w?si=7nzxC3CQUWptdvNL

Tukio linalosubiriwa Kwa sasa ni unyakuo KWANZA
 
Na cha ajabu Israel haitoweza shinda vita kwa kulenga hao commanders..
Wameshaua wanasayansi wa nuclear kibao lakini project zinaendelea...

Israel pia ingalikuwa na ulinzi wasingeomba cease-fire, commanders wao walivyo waoga wa kifo huwa wanajificha mashimoni...
Issue ni programs za kurutubisha Neuk hazitafika kokote


Huwezi kuwa na Taifa linalopanga kufuta Taifa lingine.


Kingine usichojua serikali ya kiislam ya Iran muda huu Inaliwa rada na maadui wa ndani ya irani. Usishangae kikatokea kile kile cha Libya.


US na Israel wako kusaidia tu
 
Back
Top Bottom