City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥
King'ora cha tahadhali kimelia katikati mwa Israel
King'ora cha tahadhali kimelia katikati mwa Israel
Kwa nini? Dubai si hawahusiki?Kuna Drone imegonga jengo huko Dubai, aisee...hadi nimependa yaani!
JidanganyeKwa matamko ya nchi mbalimbali za mashariki ya kati...soon Iran anaenda pigwa mande ya hatari
Kwa fikra zako waarabu wanavyoona mifumo ya Marekani haifui dafu wao ndiyo wapigane?Kwa matamko ya nchi mbalimbali za mashariki ya kati...soon Iran anaenda pigwa mande ya hatari
Most zimekuwa intercepted...hakuna mfumo unaintercept missiles 100% na ndiyo maana hakujawa na major escalations...mbona Iran kuna mifumo na target zimepigwa kama kawa?Kwa fikra zako waarabu wanavyoona mifumo ya Marekani haifui dafu wao ndiyo wapigane?
Wakubali waaribu nchi zao kwa namna walivyozijenga kisa Marekani na Israel?
Iran kuifuta Israel ni baada ya Israel kuleta chokochoko za kijinga middle east zilizopelekea vifo vya maelfu ya watu wakiwemo watoto...Issue ni programs za kurutubisha Neuk hazitafika kokote
Huwezi kuwa na Taifa linalopanga kufuta Taifa lingine.
Kingine usichojua serikali ya kiislam ya Iran muda huu Inaliwa rada na maadui wa ndani ya irani. Usishangae kikatokea kile kile cha Libya.
US na Israel wako kusaidia tu
😄😄😄Dakika ya 12" Iran 3-1 Usa/ Israel Refa maliza mechi
View attachment 3550122
Dah, bonge la hotel aiseee.💥💥💥💥
Atlantis Hotel ya Dubai, imepata madhara makubwa kufuatia mashambulizi ya makombora ya Iran
UNAROPOKA TU.Kama top commanders wa vita wanauliwa utasema hiyo nchi Ina ulinzi ?
Leo tu top commander mmoja na waziri wa ulinzi wameshatangulizwa Kwa Allah wakasugue visimi vya mabikra 72 unasema Kuna ulinzi hapo.
Iran kazungukwa na maadui everywhere