Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ayatollah na apigwe tu. Kaua maelfu ya Wairan hii majuzi tu.

*** him. And *** Samia.
Usisikilize propaganda za USA.
Iran iliwasilisha video ikakusanya mabalozi wote na kuwaonesha mamluki walivyokua wakiua raia wasio na hatia hadi makanisani.
Wale walikua mamluki.
 
Iran kuifuta Israel ni baada ya Israel kuleta chokochoko za kijinga middle east zilizopelekea vifo vya maelfu ya watu wakiwemo watoto...

Iran siku zote inachokozwa, huoni hilo?
Huna akili huyo Iran ndio financier wa Muslim Brotherhood kikundi chenye malengo ya kuitawala Dunia chini ya sheria za kiislam


Ndio maana hukuwahi kuona maandamano ya FREE PALESTINE Saudi Arabia au Dubai kwasababu hiyo movement ilikuwa supported na Muslim brotherhood chini ya Iran.



Tafuta hii interview ya MBS akiwaongelea Iran Iko YouTube acha kusikia taarifa kijiweji
 

Attachments

  • ⚡️ JUST IN_ 🇸🇦🇮🇷__Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman warns about Iran_s nuclear ambitions_...mp4
    2.2 MB
Issue ni programs za kurutubisha Neuk hazitafika kokote


Huwezi kuwa na Taifa linalopanga kufuta Taifa lingine.


Kingine usichojua serikali ya kiislam ya Iran muda huu Inaliwa rada na maadui wa ndani ya irani. Usishangae kikatokea kile kile cha Libya.


US na Israel wako kusaidia tu
KAMA HUJUI KITU SI UNYAMAZE!?
Maadui wa ndani unaowasemea ni kurdish fighter na MEK kurdi ambao walijaribu kumvamia Khamenei tarehe 26 wakafutiliwa mbali. Jana kikosi cha NOPO kiliwafuata Iraq Kurdi na kuwafyekelea mbali wengine wamekimbilia Syria huko.
Hakuna kikosi upinzani ndani ya Iran.
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel inashambulia kwa makombora eneo la Zanjan. Milipuko mikubwa
 
Back
Top Bottom