MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
View: https://x.com/clashreport/status/2027797959958778218
Iran amekuwa supprised, kuna dalili huenda utawala wa Iran uko hatarini
Iran walisema watapiga sehemu yeyote yenye uwekezaji wa Marekani ndani ya middle east, as long as hiyo sehemu kuna namna Marekani anapata hata senti moja, hiyo inatosha kuwa a legitimate target.Dubai mbona haina tatizo na Iran, pia hakuna kambi ya marekani
Pia hizo hotel wanazoshambulia si wanakufa ambao hata hawahusiani na marekani na Israel?
Nakubali mkuu Shusha mzigo tusiokuwa na pande tufatilieNaleta pande zote, fatilia vizuri.
Mimi Iran ikipigwa hainiumizi chochote, pia Israel ikipigwa hainiumizi chochote.
Mkuu kwenye hotels si kuna raia(wamama, Watoto) huoni hilo ni kosa?Iran walisema watapiga sehemu yeyote yenye uwekezaji wa Marekani ndani ya middle east, as long as hiyo sehemu kuna namna Marekani anapata hata senti moja, hiyo inatosha kuwa a legitimate target.
Wale waliojichaguaMkuu nani anasambaza Cocaine😅
Israel anashambulia, muda mchache uliopita wameshambulia huko zanjanHivi Marekani na Israel wamshambulia tena bbada ya pale asubuhi?
Au saizi wana guard tu?
Kaka, shuleni si kuna wanafunzi, unajua Israel na USA wameua wanafunzi wangapi leo!?Mkuu kwenye hotels si kuna raia(wamama, Watoto) huoni hilo ni kosa?
Hii rose bado haijafika tu huko😀Kwa mara ya kwanza Iran amerusha kombora lake la uwezo wa Hali ya juu aka rose of the sky.haijulikani linaelekea wapi
Ila hii mikwara ya Iran 😂😂.
Sasa UAE na wao si wataingia kwenye vita na IranMashambulzi ya Iran ndani ya UAE kwenye majengo , mahoteli, malls na compounds karibu na burj khalifa kumbe wanalenga assets za Trump na familia yake, pamoja na vituo vya Mossad.
Tajiri Trump na biashara yake ya real estate kumbe amewekeza pakubwa Dubai.