Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hivi hamna uwezekano wa maoombora ya Iran kushambulia zile meli vita zilizoko huko baharini? Mbona wanaenda kulenga mbali wakati hayo mameli yapo hapo karibu.?

Aaarrgghhhĥh
Na ndio zinazoratiba mashambulizi yote hayo.
 
Great Thinker wanajua kabisa hii vita ni ya kuzugia na kuwa zima macho WAJINGA!
Baada ya Viongozi wakubwa na watu maarufu zaidi duniani Kutajwa kwenye Uchafu, unaoweza kulinganishwa na shetani (Epstein Scandal); wakiwemo hao vinara wa Vita
Inaonekana ndio sababu ya Kuleta Vita haraka haraka ili kuhamisha watu WAJINGA wanaoshabikia vita kutoka kwenye Epstein scandal kwenda kwenye Vita

ANAYESHABIKIA WATU KUUWAWA (VITA) NI WAKALA WA SHETANI BILA MWENYEWE KUJIJUA
Umewaza kwa udogo(upeo wa chini)

Mfano vita hii usingekuwepo. Watu wangefanya nini kuhusu hizo file za Epstein? Hata hivyo mbona watu walishaachana na kujadili hizo files?
 
Wamekufa wangapi?

Huo upuuzi kaanisha USna Israel..
Kombora ambalo linaenda kupiga mahotel unafikiri vifo havitatokea?

Mkuu kuhalalisha shambulizi kama hilo ni kuondoa uhalali wa kile unachokipinga kuhusu Israel/USA

Jambo baya ni baya, kutaka kulihalalisha hilo ni tatizo
 
Kombora ambalo linaenda kupiga mahotel unafikiri vifo havitatokea?

Mkuu kuhalalisha shambulizi kama hilo ni kuondoa uhalali wa kile unachokipinga kuhusu Israel/USA

Jambo baya ni baya, kutaka kulihalalisha hilo ni tatizo
Zinapigwa precision strike, umesikia Dubai kafa mtu?

Hizo assets ndizo zinatumika kutunza vifaa , watu na mikakati ya kuishambulia Iran..

Milipuko ya kila siku Iran, walipuaji na assets zao zinakaa hizo nchi za Middle East.. unataka Iran awachekee...

Kuuawa wa commanders wa jeshi karibu 30, hizo sehemu zinazolengwa zinahusika ...
 
Irani inalinda Dola na Marekani anaangalia Maslahi yake pale Mashariki ya kati.

Israeli mnaodanganywa ni taifa la mungu ni Agenda ya Marekani ya kukusanya nishati Mashariki ya Kati.

Tusitetee ujinga,Irani ni haki yake kujilinda tusifanyane Maroboti wa kufikiri.
 
BBC toka saa 12 mpaka sasa bado wanasema Ayatollah will adress shortly, atakuwa kadedishwa?
Wameshacancel kwamba atahutubia, hata vyombo vya habari vya Iran vimeambiwa kwamba wacancel hiyo ratiba jamaa hatohutubia.
 
Hivi Marekani na Israel wamshambulia tena bbada ya pale asubuhi?

Au saizi wana guard tu?
Wefanya mida ya saa mbili usiku huu sema Iran imezima Internet hivyo ni ngumu kupata video.
 
Back
Top Bottom