Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Cha ajabu nchi zao zinapigwa na raia mtaani wanashangilia huko Bahrain
Inasemekana Iran akiendelea kuna uwezekano Bahrain kukatokea regime change..

Maana Iran ilishadai Bahrain ni sehemu yake miaka ya 1950s, Iran ilishataka kuifanya Bahrain kuwa jimbo lake, na Bahrain ilishakuwa chini ya Iran kwenye karne ya 18 kurudi nyuma.. Na shia ni wa kutosha hapo..

Haya masuala ndio yanapelekea US na Israel waishambulie Iran.
 
Inasemekana Iran akiendelea kuna uwezekano Bahrain kukatokea regime change..

Maana Iran ilishadai Bahrain ni sehemu yake miaka ya 1950s, Iran ilishataka kuifanya Bahrain kuwa jimbo lake, na Bahrain ilishakuwa chini ya Iran kwenye karne 18 kurudi nyuma.. Na shia ni wa kutosha hapo..

Haya masuala ndio yanapelekea US na Israel waishambulie Iran.
Keep barking like a dog 🐕 🐕 🐕
 

Attachments

  • Screenshot_20260228-215836.png
    Screenshot_20260228-215836.png
    1 MB · Views: 6
Nikisema vifaa simaanishi vifaru ama launchers za missiles...
Wanaweza kuweka center zao huko na vifaa kama server za computers, vifaa vya mawasilaino n.k.. ulimwengu wa kijasusi upo complex..
Marekani wakaweke hivyo vifaa kwenye mahotel?
Kwa hiyo mkuu Israel wakisema walishambulia shule sababu Iran waliweka vifaa huko kwako itakua sawa tu kushambulia shule?
 
Marekani wakaweke hivyo vifaa kwenye mahotel?
Kwa hiyo mkuu Israel wakisema walishambulia shule sababu Iran waliweka vifaa huko kwako itakua sawa tu kushambulia shule?
Wameshapewa taarifa, ukibaki hayo maeneo unatafuta kifo makusudi, na zinapigwa precision strike...
 
Dozi imeanza muda. Hoteli kubwa za kimataifa Bahrain na Dubai zinalipuliwa. Inasemekana ni uwekezaji wa USA pia kuna makamanda wa US kwenye hizo hoteli. Ripoti ndivyo zinavyosema.
Bahrain na Dubai raia wataingia road soon. Maana uwekezaji unaguswa.
Nyie jamaa ni waongo sana
 
Back
Top Bottom