City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Taarifa isiyo rasmi inasema mtoto wa khamenei anayeitwa mojtaba Khamenei pamoja na familia yake wameuwawa kufuatiwa mashambulizi ya Israel.
Taarifa inasema eneo walilokua lilishambuliwa kwa mabomu zaidi ya 30
Taarifa hii sio rasmi. Ikiwa rasmi kutakua na muendelezo