MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Great Thinker wanajua kabisa hii vita ni ya kuzugia na kuwa zima macho WAJINGA!kahaba iran yupo uchi wa mnyama myahudi anajipigia tu matundu yote kwa kadiri anavyotaka 🤣😂
Soon mtafikiwa... jiandaeni..Ila hii mikwara ya Iran 😂😂.
Imedondoka sa nyingi sana ni vilio tu huko Tel AvivHii rose bado haijafika tu huko😀
Limepita hapa Tukuyu linaenda Kizimkazi kwa mzee mmoja mvuvi wa kasa.Hii rose bado haijafika tu huko😀
Hawana huo uwezo...Sasa UAE na wao si wataingia kwenye vita na Iran
Inaonekana waarabu wengi hawafurahii uwepo wa kambi za Marekani nchini mwao.🇧🇭 The residents of Bahrain are rejoicing at the strikes of Iranian drones on US bases located in their country.
View attachment 3550157
Great Thinker wanajua kabisa hii vita ni ya kuzugia na kuwa zima macho WAJINGA!💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora kambi ya jeshi ya makombora magharibi mwa Tehran
Meli moja ishazamishwa muda.Hivi hamna uwezekano wa majombora ya Iran kushambulia zile meli vita zilizoko huko baharini? Mbona wanaenda kulenga mbali wakati hayo mamrli yapo hapo karibu.?
Aaarrgghhhĥh
Iran ameshafuturu na Israel imemaliza sabato, tutashuhudia mtifuano mkali saana usiku wa leo hasa Israel ikipasua kambi za kijeshi hapo Iran.💥💥💥💥
jeshi la Israel limetoa tahadhali watu kuhama walio karibu na maeneo ya jeshii nchi Iran. Katika jiji la Isfahan
View attachment 3550154
Akili hauna wewe, ungekaa kimya tu kuficha ujinga wako.Great Thinker wanajua kabisa hii vita ni ya kuzugia na kuwa zima macho WAJINGA!
Baada ya Viongozi wakubwa na watu maarufu zaidi duniani Kutajwa kwenye Uchafu, unaoweza kulinganishwa na shetani (Epstein Scandal); wakiwemo hao vinara wa Vita
Inaonekana ndio sababu ya Kuleta Vita haraka haraka ili kuhamisha watu WAJINGA wanaoshabikia vita kutoka kwenye Epstein scandal kwenda kwenye Vita
ANAYESHABIKIA WATU KUUWAWA (VITA) NI WAKALA WA SHETANI BILA MWENYEWE KUJIJUA
Kwenye hayo mahotel raia wasio na hatia hawafi?Mashambulzi ya Iran ndani ya UAE kwenye majengo , mahoteli, malls na compounds karibu na burj khalifa kumbe wanalenga assets za Trump na familia yake, pamoja na vituo vya Mossad.
Tajiri Trump na biashara yake ya real estate kumbe amewekeza pakubwa Dubai.
Wanasema wanalenga na command center za US walikojifichaMashambulzi ya Iran ndani ya UAE kwenye majengo , mahoteli, malls na compounds karibu na burj khalifa kumbe wanalenga assets za Trump na familia yake, pamoja na vituo vya Mossad.
Tajiri Trump na biashara yake ya real estate kumbe amewekeza pakubwa Dubai.