kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,791
- 12,225
Ameuwa💥💥💥💥
Taarifa isiyo rasmi inasema Ayatollah Khamenei ameuwawa pamoja na familia yake
Ayatollah Ali khamenei is no moreTupe chanzo cha taarifa yako.
Ameuwa💥💥💥💥
Taarifa isiyo rasmi inasema Ayatollah Khamenei ameuwawa pamoja na familia yake
Ayatollah Ali khamenei is no moreTupe chanzo cha taarifa yako.
Mkuu sasa niseme nimekubali spirit yako, hukati tamaa. Hata jambo liwe hivi utaleta uongonwa alternative nyingine🙌Kama ameuawa Netanyahu ajiandae kisaikolojia, uzuri Trump alishasema endapo Iran ikimuua ameacha maagizo.. 🤣 🤣
Kitu kimoja mnachopuuzia ni Uwezo wa Mossad na CIA, kujua nini kinaendelea ndani kwa Adui.Kama ni kweli Khamenei amefariki hii vita inakwenda kuingia kwenye level nyingine..
Ayatollah ana miaka 86, tokana na maradhi ya uzee, kuna probability ndogo kama ange survive miaka 5/10 ijayo..
Hii ina maana Iran walishafahamu hilo na walishaweka mikakati na succession plan baada ya Ayatollah, Ayatollah asingekuwepo hapo milele...
Kama kumuua Ayatollh ndipo kuangusha taifa la Iran, basi wasinge hangaika gata kumuua , maana miaka yake ya kuishi ilikuwa inahesabika...
Mkuu mimi nafatilia hizi mambo za kimataifa kila sekunde kila dakika. Haijawa confirmaed kwa 100% , ndio maana nimesema si taarifa sahihi.Ameuwa
Ayatollah Ali khamenei is no more
Hata successor wake nae is no moreKama ni kweli Khamenei amefariki hii vita inakwenda kuingia kwenye level nyingine..
Ayatollah ana miaka 86, tokana na maradhi ya uzee, kuna probability ndogo kama ange survive miaka 5/10 ijayo..
Hii ina maana Iran walishafahamu hilo na walishaweka mikakati na succession plan baada ya Ayatollah, Ayatollah asingekuwepo hapo milele...
Kama kumuua Ayatollh ndipo kuangusha taifa la Iran, basi wasinge hangaika gata kumuua , maana miaka yake ya kuishi ilikuwa inahesabika...
Mashoga zake wamepelekewa moto mpaka Trump kaomba ceasfire through Italy within hours! Walifikiri Iran ni Iraq MamayakeHuyo ni pro Israel huwa anajitia ni neutral..
Mkuu mimi ni mfuatiliaji wa karibu sana, ondoa shakaUpo dunia ya ngapi mkuu? Acha upumbavu ingia mitandaoni ujionee!
Debe tupu.Kwishaa habari yakeView attachment 3550202
Nilikuwepo front 29 oct...Mkuu sasa niseme nimekubali spirit yako, hukati tamaa. Hata jambo liwe hivi utaleta uongonwa alternative nyingine🙌
Watu kama nyie ndio tulikua tunawataka kwenye mapambano ya oct 29
Successor aliyekua anaandaliwa ni mojtaba, ambae nae inasemekana ameuwawaAyatollah ana miaka 86, tokana na maradhi ya uzee, kuna probability ndogo kama ange survive miaka 5/10 ijayo..
Hii ina maana Iran walishafahamu hilo na walishaweka mikakati na succession plan baada ya Ayatollah, Ayatollah asingekuwepo hapo milele...
Kama kumuua Ayatollh ndipo kuangusha taifa la Iran, basi wasinge hangaika gata kumuua , maana miaka yake ya kuishi ilikuwa inahesabika...
Nadhani itachochea hii vita kuingia stage nyingine..
Babe girl kwenye thread ya wanaume usilete hisiaAyatollah is Dead
Kobazi umebinua mkund* msikitini afu unaanza kutia tia huruma kama mtoto wa kikoma,acha wafia dini wale jeuri yao.hii dunia sio ya kulazimisha watu wafuate Imani zetu za miaka 200 iliyopita.ACHA WATU WAFURAHIE MAISHA YAO MAFUPI KWA KUCHAGUA WAPENDACHO,Kama wakiamua kufuata sheria za dini basi wafuate,wakiamua kuwa wapagani heshimu maamuzi Yao TUSIPANGIANE na kujiona kwamba wengine ni Miungu watu hapa dunianiKama ni kweli Khamenei amefariki hii vita inakwenda kuingia kwenye level nyingine..
Ayatollah ana miaka 86, tokana na maradhi ya uzee, kuna probability ndogo kama ange survive miaka 5/10 ijayo..
Hii ina maana Iran walishafahamu hilo na walishaweka mikakati na succession plan baada ya Ayatollah, Ayatollah asingekuwepo hapo milele...
Kama kumuua Ayatollh ndipo kuangusha taifa la Iran, basi wasinge hangaika gata kumuua , maana miaka yake ya kuishi ilikuwa inahesabika...
Ndio hivyo kafaaaa andamaneniiiBabe girl kwenye thread ya wanaume usilete hisia
View: https://x.com/clashreport/status/2027797959958778218
Iran amekuwa supprised, kuna dalili huenda utawala wa Iran uko hatarini
Kwa spirit hii uliyonayo naamini😃Nilikuwepo front 29 oct...
Na nilikinukisha haswa.. sio mchezo.. nilifunga mtaa..
Tusubiri masaa machache yajayo..Successor aliyekua anaandaliwa ni mojtaba, ambae nae inasemekana ameuwawa
Hata Nassarah mlikua mnabisha hivi hivi🤣🤣Debe tupu.
Mlisema kamanda mkuu wa IRGC kafa jioni akajitokeza na kuwaumbua. PYEEE!
Pyeeeee!Hata Nassarah mlikua mnabisha hivi hivi🤣🤣View attachment 3550235