Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwenye hayo mahotel raia wasio na hatia hawafi?

Kwa nini makosa yanapofanyika huwa tunayahalalisha sababu yamefanywa pande unayopenda? Sawa Israel washambulie shule alafu waseme hiyo shule ilikua na vifaa vya jeshi.
Hayo mahoteli kuna majasusi wa Israel na USA,hawapigi tu
 
Kobazi umebinua mkund* msikitini afu unaanza kutia tia huruma kama mtoto wa kikoma,acha wafia dini wale jeuri yao.hii dunia sio ya kulazimisha watu wafuate Imani zetu za miaka 200 iliyopita.ACHA WATU WAFURAHIE MAISHA YAO MAFUPI KWA KUCHAGUA WAPENDACHO,Kama wakiamua kufuata sheria za dini basi wafuate,wakiamua kuwa wapagani heshimu maamuzi Yao TUSIPANGIANE na kujiona kwamba wengine ni Miungu watu hapa duniani
Dah! mada za kidini zinaingiaje hapa?
Mimisi muislamu..
Halafu nikianza kukutukana hapa usije nilaumu..
 
Crowds in Tehran and Shiraz went to the streets cheering the news about Khamenei’s alleged death. #Iran
 
A local Iranian friend of the Network, tells us he hears people clapping and cheering in Tehran
 

Attachments

  • Screenshot_2026-02-28-21-31-52-106.jpg
    Screenshot_2026-02-28-21-31-52-106.jpg
    134.5 KB · Views: 11
Ho
Netanyahu just claimed: "People of Iran, this is once in a lifetime oppoturnity. We are with you."

Earlier today, he murdered 57plus elementary school girls in Iran......
How about US/ IDF solders killed in those military bases? still unidentified? how about artileys destroyed costing trillions of dollats? Iran has nothing to loose in this war. Time will tell
 
Afe mara ngapi sa hii yupo kwa allah akimhadithia kichapo cha myahudi kilivyokuwa heavy na akimshangaa allah why kamuacha akauliwa kibudu na myahudi
Huku akiwa na bikra zake kadhaa zinamzunguka.
 
Netanyahu just claimed: "People of Iran, this is once in a lifetime oppoturnity. We are with you."

Earlier today, he murdered 57plus elementary school girls in Iran......
Ayatollah kaua wairan maelfu kuliko Netanyahu, tofauti yao nini
 
Back
Top Bottom