MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
hili ni shambulio la Iran wenyewe
Israel au marekani?.. Israel anabweka tu,hata Trump alimwambia netanyahu aache kutamba,silaha ni za marekaniIsrael imesema itaua kiongozi yoyote mstaafu, wa sasa au ajaye ambaye atatishia usalama wake.
Siyo ubishi,ni factUbishi huu hauna maana
Kwa nini hawakushambulia peke Yao wakamsubiri marekani?Israel wao hawajashambulia?
Mkuu pole na msiba mzito 😁Kwa nini hawakushambulia peke Yao wakamsubiri marekani?
AsanteMkuu pole na msiba mzito 😁
vita ya sasa hivi usipigane peke yako utavuja jasho sana. sasa kwa nini ujitese na wakati msaada upo? kwa nini utembee kwa miguu na wakati usafiri upo?Kwa nini hawakushambulia peke Yao wakamsubiri marekani?