Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Makombora ya Iran yalivyoshambulia moja ya eneo ndani ya Tel Aviv - Israel
20260301_005209.jpg
 
Dunia hii ukionekana mbabe na unaingilia maslahi ya wakubwa unaondolewa,kuondolewa kwa Ayatollah itamaanisha waIran wanaenda kupata kiongozi kibaraka wa US. Shida sana yani.
 
Nataka kuona ground invasion ya U.S na Israel hapo Iran bila hivyo watanipa mashaka makubwa mno juu ya utayari wao na resources walizo ziandaa kwa miezi mingi
Hakuna haja ya ground invasion, Wairan wenyewe watamaliza kazi iliyobaki.

Fikira leo Atokee mtu ashambulie kambi na ofisi zote za JWTZ, Polisi, Serikali na CCM unadhani nini kuwazuia watu kuchukua nchi

View: https://x.com/FaytuksNetwork/status/2027864778190848139
 
Iranian ballistic missiles are again striking Prince Sultan Air Base in Riyadh. Air defenses are also active in Qatar. Meanwhile, Israel and the US have restarted strikes, with explosions reported in Bandar Abbas. #Iran

Iran hana uongozi wa kijeshi
 
Hakuna haja ya ground invasion, Wairan wenyewe watamaliza kazi iliyobaki.

Fikira leo Atokee mtu ashambulie kambi na ofisi zote za JWTZ, Polisi, Serikali na CCM unadhani nini kuwazuia watu kuchukua nchi

View: https://x.com/FaytuksNetwork/status/2027864778190848139

Propaganda, hao ni afghans na jews na wairan wachache ambao hawajielewi...
Kaa ukijua Iran kuna afghans wengi wanatumika na Israel, na kuna jews wengi ikitoka Israel kwa middle east.. mapandikizi yapo ya kutosha..
 
100 others Khaibar
Pamoja kuwa mnaipenda Iran(mpo sahihi Ni haki kwenu), lakini lazima mkubali Iran wana udhaifu kwenye intelijensia yao

June mwaka jana shambulizi la kwanza tu waliuliwa mkuu wa majeshi na majenerali wengine.

Safari hii shambulio la kwanza tu limeondoka na Ayatollah, mtoto wake na wanafamilia wengine pamoja na waziri wa ulinzi.

Iran walikua hawajui kuwa watashambuliwa?? Ulinzi kwenye makazi ya Ayatollah na wanafamilia ilipaswa kuwa wa juu sana. Air defense system za eneo lote la makazi yao ilipaswa kuwa ya juu sana. Lakini sababu ya huo udhaifu inafanya kila mara wapate madhara makubwa
 
💥💥💥💥
Trump: wengi wa wanajeshi wa Iran, polisi na Askari wengine wameamua kuacha kupigana wanataka wahakikishiwe usalama wao na marekani
 
100 others Khaibar
Pamoja kuwa mnaipenda Iran(mpo sahihi Ni haki kwenu), lakini lazima mkubali Iran wana udhaifu kwenye intelijensia yao

June mwaka jana shambulizi la kwanza tu waliuliwa mkuu wa majeshi na majenerali wengine.

Safari hii shambulio la kwanza tu limeondoka na Ayatollah, mtoto wake na wanafamilia wengine pamoja na waziri wa ulinzi.

Iran walikua hawajui kuwa watashambuliwa?? Ulinzi kwenye makazi ya Ayatollah na wanafamilia ilipaswa kuwa wa juu sana. Air defense system za eneo lote la makazi yao ilipaswa kuwa ya juu sana. Lakini sababu ya huo udhaifu inafanya kila mara wapate madhara makubwa
Ajabu ni kuwa matatizo aliyo nayo Iran na mataifa yote ya middle east ya kiintelijensia dhidi ya Israel ndio waliyo nayo U.S na Russia dhidi ya Israel[MOSSAD]
 
100 others Khaibar
Pamoja kuwa mnaipenda Iran(mpo sahihi Ni haki kwenu), lakini lazima mkubali Iran wana udhaifu kwenye intelijensia yao

June mwaka jana shambulizi la kwanza tu waliuliwa mkuu wa majeshi na majenerali wengine.

Safari hii shambulio la kwanza tu limeondoka na Ayatollah, mtoto wake na wanafamilia wengine pamoja na waziri wa ulinzi.

Iran walikua hawajui kuwa watashambuliwa?? Ulinzi kwenye makazi ya Ayatollah na wanafamilia ilipaswa kuwa wa juu sana. Air defense system za eneo lote la makazi yao ilipaswa kuwa ya juu sana. Lakini sababu ya huo udhaifu inafanya kila mara wapate madhara makubwa
Ayatollah kufariki haitobadilisha chochote..

Ayatollah ni kama alitaka kulengwa na hayo mashambulizi, maana alikuwa kwenye makazi kawaida tu na familia yake.

Hao kifo kama hiko wao wanasema wamekufa shaheed, na wanatamani vifo vya namna hio, na wanawaonea wengine wivu wakitangulizwa mbele za haki kwa staili hio 😂 ..

Sioni kama ni ushindi kwa Israel na US kumuua Ayatollah ambae ana miaka 86 na alishamaliza kazi yake, ameshawalisha ideas zake na falsafa zake.
 
💥💥💥💥
Karaj wanafanya maandamano na kufurahia kifo cha Khamenei
 
Ayatollah kufariki haitobadilisha chochote..

Ayatollah ni kama alitaka kulengwa na hayo mashambulizi, maana alikuwa kwenye makazi kawaida tu na familia yake.

Hao kifo kama hiko wao wanasema wamekufa shaheed, na wanatamani vifo vya namna hio, na wanawaonea wengine wivu wakitangulizwa mbele za haki kwa staili hio 😂 ..

Sioni kama ni ushindi kwa Israel na US kumuua Ayatollah ambae ana miaka 86 na alishamaliza kazi yake, ameshawalisha ideas zake na falsafa zake.
Alikua anataka kufa yeye na familia yake yote? Na waziri wa ulinzi? Na wasaidizi wake wote?

Mkuu huu udhaifu wa Iran walionao unatakiwa kuukubali
 
Back
Top Bottom