Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Wamejiandaa kukabiliana na polisi na IRGC ?💥💥💥💥
Karaj wanafanya maandamano na kufurahia kifo cha Khamenei
Wamejiandaa kukabiliana na polisi na IRGC ?💥💥💥💥
Karaj wanafanya maandamano na kufurahia kifo cha Khamenei
Ndivyo ilivyo kama wanaweza kuficha hypersonic ambapo hazijulikani chini kabisa ya ardhi, wanashindwa pia kuweka viongozi wao huko ?Alikua anataka kufa yeye na familia yake yote? Na waziri wa ulinzi? Na wasaidizi wake wote?
Mkuu huu udhaifu wa Iran walionao unatakiwa kuukubali
Unajua Iran ina Majeshi mawali na Jeshi linalorusha makombora sio Jeshi la Taifa?Sio mara ya kwanza Iran kushambuliwa, hao wananchi watachukua vipi hiyo nchi bila kuangushwa kwa serikali na jeshi ?
Ndio maana Israel na Marekani wameshambulia kambi na vikosi vya IRGC na uongozi woteWamejiandaa kukabiliana na polisi na IRGC ?
Japo ukweli na msimamo wangu wa muda mrefu kati ya Israel na Iran kiitelijensia ni kuwa Israel katika eneo hili kawaweza maadui zake wote hapoa mashariki ya kati hata marafiki zake mataifa makubwa Marekani na Urusi ana waingilia vile atakavyo.Ndivyo ilivyo kama wanaweza kuficha hypersonic ambapo hazijulikani chini kabisa ya ardhi, wanashindwa pia kuweka iongoi wao huko ?
Viongozi wa Iran hawajali sana kuhusu usalama wao, Suleiman alikuwa anasafiri kwenda Iraq kwenye public transport, na habari hadi magazetini kwamba anakwenda Iraq, ndipo akalengwa na US.. kwa cheo chake na umuhimu wake hakupaswa kuishi vile.
Naweza kusema hawajali sana kuhusu uhai wao... sasa utasemaje kwa hali kama hio zaidi ya kuhitimisha wanapenda kufa shaheed? according to their imaan.
Unajua Iran ina Majeshi mawali na Jeshi linalorusha makombora sio Jeshi la Taifa?
View: https://x.com/NOELreports/status/2027874165261254838
Sio intel, wasaliti, Iran ina wasaliti.Japo ukweli na msimamo wangu wa muda mrefu kati ya Israel na Iran kiitelijensia ni kuwa Israel katika eneo hili kawaweza maadui zake wote hapoa mashariki ya kati hata marafiki zake mataifa makubwa Marekani na Urusi ana waingilia vile atakavyo.
Iran kiitelijensia dhidi ya Israel bado kabisa ana moles wengi sana ndani ya maeneo muhimu wanaofanya kazi ya Israel katika targeting kuwa nyepesi kama kunywa maji.
Hiki ndio kitu sijui kwa nini Hawa kina 100others wanabisha. Iran imepandikizwa mashushushu wengi wa IsraelIran kiitelijensia dhidi ya Israel bado kabisa ana moles wengi sana ndani ya maeneo muhimu wanaofanya kazi ya Israel katika targeting kuwa nyepesi kama kunywa maji
Japo ukweli ni kuwa Israel ina watu wake wengi sana ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni tofauti na kinyume chake.Sio intel, wasaliti, Iran ina wasaliti.
Wakipewa na pesa na kuahidiwa kuishi ughaibuni ndipo basi wanafuata maagizo yote wanayopewa na Israel & US.
Iran kuna jews wengi na afghans, na hiko kitu kinamtesa.
Israel ingekuwa na intel nzuri, wangewapata mateka ndani ya Gaza toka mikononi mwa Hamas ambao ni kikundi dhaifu sana mbele ya jeshi la IDF kiuchumi, ubora na utajiri wa vifaa vya kijeshi, namba ya askari, support kutoka nje na media za propaganda.
Matokeo yake Israel ikakubali kuvunja sheria yake mwenyewe ya kutofanya negotiations na terrorist group(wanaitambua Hamas kama terror group). Ikabidi waingie negotiations ili kupata mateka wake ambao baada ya vita vya muda mrefu hawakufanikiwa kupata walipo.
Kwa wasioelewa Iran miaka yote Ipo top 3 nchi yenye wakimbizi wengi Duniani, kuna wakimbizi zaidi ya milioni 3 Iran ambao wnasomeshwa na kuhudumiwa huduma nyingi Tu. Ni rahisi kwa watu kujipenyeza kwenye Hilo kundi, hata vita vilivyopita moles wengi hawakuwa natives wa Iran.Sio intel, wasaliti, Iran ina wasaliti.
Wakipewa na pesa na kuahidiwa kuishi ughaibuni ndipo basi wanafuata maagizo yote wanayopewa na Israel & US.
Iran kuna jews wengi na afghans, na hiko kitu kinamtesa.
Israel ingekuwa na intel nzuri, wangewapata mateka ndani ya Gaza toka mikononi mwa Hamas ambao ni kikundi dhaifu sana mbele ya jeshi la IDF kiuchumi, ubora na utajiri wa vifaa vya kijeshi, namba ya askari, support kutoka nje na media za propaganda.
Matokeo yake Israel ikakubali kuvunja sheria yake mwenyewe ya kutofanya negotiations na terrorist group(wanaitambua Hamas kama terror group). Ikabidi waingie negotiations ili kupata mateka wake ambao baada ya vita vya muda mrefu hawakufanikiwa kupata walipo.
Tena dhaifu mno sorry kwa Iran hardcore supporters kukubali madhaifu yako sehemu fulani sio jambo baya.Hiki ndio kitu sijui kwa nini Hawa kina 100others wanabisha. Iran imepandikizwa mashushushu wengi wa Israel
Jaribu kuwa kifo Cha Ismail Haniyeh. Anaenda kuuliwa hapo hapo Tehran tena siku ambayo raisi wa Iran anaapishwa. Iran badala ya wao kuongeza nguvu kwenye intelligence wanaishia kulipiza kisasi kwa kurusha makombora
Vita ya June, siku ya kwanza tu Israel walifanikiwa kuondoka na mkuu wa majeshi.
Iran wana uwezo mkubwa sana wa kijeshi lakini wana intelijensia dhaifu
Na ndio wanatumika, na wengi wamezaliwa hapo, jamii zimeingiliana..Kwa wasioelewa Iran miaka yote Ipo top 3 nchi yenye wakimbizi wengi Duniani, kuna wakimbizi zaidi ya milioni 3 Iran ambao wnasomeshwa na kuhudumiwa huduma nyingi Tu. Ni rahisi kwa watu kujipenyeza kwenye Hilo kundi, hata vita vilivyopita moles wengi hawakuwa natives wa Iran.