Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkuu hii dunia haijawahi kuwa na huruma bali kinacho angaliwa ni maslahi tu.
Iwapo Iran itafanikiwa kuchomoka kwenye huu mtihani anatakiwa kufanya afanyavyo kuhakikisha anapata silaha za nyuklia ili kujihakikishia usalama wake tofauti na hapo wataendelea kumuandama na mwisho wa siku watafanikiwa kumuangusha.
Huwezi kuwa mpinzani wa sera za Marekani na washirika wake alafu isiwe na silaha za maangamizi utegemee kubaki salama.
Nina kuhakikishia china 🇨🇳 ingekuwa haina silaha za nyuklia wangekuwa walisha ivamia na kuisambaratisha.
Kila akijaribu wanasayansi wake wanazamishwa ardhini
 
Mie nilie kisa upuuzi wako wa kuamini uongo!??
Alfajiri hii Khamenei ametoa tamko kuwa yupo hai.
Unadhani nina akili za kifala kama wewe!?
 

Attachments

  • Screenshot_20260301_044944_Instagram.jpg
    Screenshot_20260301_044944_Instagram.jpg
    243.8 KB · Views: 14
Huu usiku haujawa wa kawaida kwa Israel. Greater Israel town imepasuka vibaya vibaya.
Huu usiku haukuwa mzuri kwa Israel.
 
Huu usiku haujawa wa kawaida kwa Israel. Greater Israel town imepasuka vibaya vibaya.
Huu usiku haukuwa mzuri kwa Israel.
Hata kwa Marekani kwa upinzani ambao anaupata kwa Iran sikuwahi kuuona hapo kabla.

Na hii ni siku ya kwanza tu! Sijui hali ikiendelea zaidi itakuwaje!
 
Houthi nao wamejiunga kwenye mashambulizi.
Hii vita kuna mtu anatema bungo mapema sana.
Miundombinu ya uwekezaji mingi imelengwa UAE na Bahrain. Sijui Iran wamekusudia nini kulenga hizo sehemu!?
Watu wasichokijua Iran kwao kufa siyo ishu! Kwao inatafsirika ni ibada kuwa umekufa shahidi na ndiyo maana hawafichi vifo.

Mapigano bado makali sana! Binafsi sikutarajia kama Iran angeleta upinzani kwa kiasi hiki ambapo hata masaa 24 bado hayajafika.
 
Back
Top Bottom