Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mna shangilia kulipuliwa majengo nyie jamaa mko na shida sana
Leta list ya key military figure ya Israel iliyo kwisha uwawa mpaka sasa hv
Na mm nikuonyeshe mamia ya majenerali wa kiiran na kiongozir wao alie uwawa siku ya kwanza tu ya mashambuliz.
Kwenye vita ili uweze kumpunguza mwenzako nguvu unashambulia military infrastructure ambayo mengine huwekwa kwenye majengo au makazi ya kiraia.

Kombora au missile ya aina yoyote ina gharama sana kwenye utengenezaji wake. Kwa hiyo, usidhani kuwa watu wanapopiga mahala fulani basi wameamua wapige. Fikiri kwa mapana ndugu yangu, vita si kitu cha mchezo kama unavyodhani.
 
Sijasoma hii comment yako ila Nifahamuvyo ninkiwa Khomein anaogolea kwenye miti ya pombe sasa huku anakunywa mvinyo na mabikra 72.

Hizi uliziandika ni ushuzi na vita ishaisha.
Loh!

Kweli, si mavazi wala jina wala umaarufu bali mtu akifungua kinywa chake ndipo utakapojua uwezo wake wa kufikiri.

Umeshinda mtanganyika mwenzangu.
 
Kwenye vita ili uweze kumpunguza mwenzako nguvu unashambulia military infrastructure ambayo mengine huwekwa kwenye majengo au makazi ya kiraia.

Kombora au missile ya aina yoyote ina gharama sana kwenye utengenezaji wake. Kwa hiyo, usidhani kuwa watu wanapopiga mahala fulani basi wameamua wapige. Fikiri kwa mapana ndugu yangu, vita si kitu cha mchezo kama unavyodhani.
Burj khalifa na majengo mengineyo ya hotel pale Dubai ni military infrastructure?
Airport zinazo shambuliwa pale Bahrain ni military infrastructure?
Hizi ndizo akili Unde za waajemi kua wakishambulia hayo maeneo wanakua wame pata faida Gani?
 
Mtanganyika mwenzangu, vitu vyengine inabidi ujielimishe. Kwani ni nini maana ya miundombinu ya kijeshi?

Labda tukusaidie: Ni majengo, vifaa na mifumo inayomilikiwa au KUTUMIWA NA JESHI ILI KUSAIDIA SHUGHULI ZAKE ZA ULINZI NA OPERESHENI.

Kwa mujibu wa sheria za kimataifa chini ya mkataba kama Geneva Conventions zinasema shambulio haliruhusiwi kulenga raia au miundombinu ya kiraia isipokuwa tu kama: Inachangia moja kwa moja katika uwezo wa kijeshi na kushambulia kunaleta faida ya wazi ya kijeshi.
 
Nikweli ila Iran ingekuwa na nia ya dhati kabisa basi Iran ilikuwa na nafasi kubwa sana kutengeneza silaha za nyuklia kwa miaka mingi sana lakini wao wakakalia sijui fatwa za kidini.
Kuna uzi humu nilisha upandisha mwaka 2018 ila kwa Id nyingine kuonya kitu kama hichi kuwa kadiri Iran inavyo jizungusha kupata silaha za nyuklia ndivyo inavyo jiweka kwenye nafasi kubwa
ya kuanguka, kumiliki silaha za nyuklia nihakikusho la usalama wako ambalo linatumia ghalama ndogo kabisa.
Kamwe Israel hawawezi ruhusu Iran akamiliki nyuklia hilo sahau halitokuja kutokea maana Iran lengo lake kubwa ni kuifuta Israel the moment wanamiliki nyuklia basi hakika wataimaliza Israel. Na ndiyo maana Israel nyuklia anayo ila hataki taifa lingine hasimu wake liwe nayo
 
Burj khalifa na majengo mengineyo ya hotel pale Dubai ni military infrastructure?
Airport zinazo shambuliwa pale Bahrain ni military infrastructure?
Hizi ndizo akili Unde za waajemi kua wakishambulia hayo maeneo wanakua wame pata faida Gani?
Mkuu Iran kushambulia viwanja vya ndege na mahoteli ni kutaka kuleta taharuki na shinikizo na kuhakikisha kuwa shughuli zote za kiuchumi zina simama kwenye nchi hizo ili kuziweka katika wakati mgumu usiyo weza kuvumilika ili nchi hizo ziishinikize Marekani iache mashambulizi yake dhidi ya Iran.
 
Changamoto iliyopo sasa hivi ni kwamba, Defensive missile za USA miongoni mwake madini yanayotumika kuundia hizi silaha ambayo kwa sasa hayo madini China amemuwekea vikwazo Marekani kujibu mapigo ya Trump. Wachambuzi wanasema Marekani ku sustain an air campaign is gonna be extremely limited.

Mashambulizi makali ambayo ameyafanya Iran kwa leo (ambapo bado masaa 24 hayajatimia) kwenye base za Marekani mashariki ya kati wameona ni bora kuhamisha zana zao za kivita sehemu nyengine kwa sababu patriot missile bado hazifanyikazi kwa ubora kuzuia missile za Iran.

Wamemuomba Uturuki wazihamishie zana za kivita kutoka kwenye base za mashariki ya kati wazihamishie kwake mturuki amekataa. Habari zinasema wanafikiria kuzihamishia Cyprus. Ndiyo maana unaona Iran anashambulia viwanda vya ndege vilevile hapo mashariki ya kati.

Mbaya zaidi ni kwamba mchina anampatia Iran makombora yake atesti uwezo, na kampatia kombora la kuttungua aircraft carrier na ballistic missile nyengine. Aidha, tangu vita ianze mpaka sasa Iran anatumia satellite ya kijeshi ya China.
Nyie watu mna uzalendo wa hali ya juu
 
Kwahiyo vita imeisha?? Ila iran nao kweli matambo yote yale wanakuja kufungwa mdomo chini ya 24hrs 😄
 
Burj khalifa na majengo mengineyo ya hotel pale Dubai ni military infrastructure?
Airport zinazo shambuliwa pale Bahrain ni military infrastructure?
Hizi ndizo akili Unde za waajemi kua wakishambulia hayo maeneo wanakua wame pata faida Gani?

Hili swali umewahi kujiuliza kipindi Israel inadondosha majumba huko Gaza?.
 
kumekucha tena
aa1.PNG
 
Nikweli ila Iran ingekuwa na nia ya dhati kabisa basi Iran ilikuwa na nafasi kubwa sana kutengeneza silaha za nyuklia kwa miaka mingi sana lakini wao wakakalia sijui fatwa za kidini.
Kuna uzi humu nilisha upandisha mwaka 2018 ila kwa Id nyingine kuonya kitu kama hichi kuwa kadiri Iran inavyo jizungusha kupata silaha za nyuklia ndivyo inavyo jiweka kwenye nafasi kubwa
ya kuanguka, kumiliki silaha za nyuklia nihakikusho la usalama wako ambalo linatumia ghalama ndogo kabisa.
Kawaulize Pakistan pamoja kuwa na nuclear kilitokea nini pale walipogoma kushirikiana na Bush kuhusu vita ya ugaidi hasa kuivamia Afghanistan walipewa onyo gani mpaka Musharaf akafyata mkia.
 
Back
Top Bottom