ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Sasa watu wanajua kabisa kuwa ni wanawindwa ila wanaenda ilulu na kukaa kupiga sofa kama wako harusini utawatafisirije tofauti na wao kujitakia kufa?😂😂
Ushabiki kitu kibaya.
Kwamba kiongozi mkuu na safu ya viongozi watakwe kulengwa na adui?
😂😂
Huoni kuwa ni aibu kiongozi kuuawa kama ngedere yaani kwenye pigo la Kwanza tuu.
Hata Gaddafi alikuwa mwamba maana angalau yeye amekaa kwa muda mrefu. Au Bashad Alsady