Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Washatangaza Jihad. Hivi unavyoongea wanajiandaa kwa mashambulizi makubwa dhidi ya Israel.
Trump ameshatangaza huko kwake yeye vita imeisha kusiwe na mashambulizi mengine.
Unadhani Iran wataruhusu hilo lipite!?
Huyo ni kiongozi wa dini.
Waje tu


Watapokelewa


😀
 
😂😂
Ushabiki kitu kibaya.

Kwamba kiongozi mkuu na safu ya viongozi watakwe kulengwa na adui?
😂😂
Huoni kuwa ni aibu kiongozi kuuawa kama ngedere yaani kwenye pigo la Kwanza tuu.

Hata Gaddafi alikuwa mwamba maana angalau yeye amekaa kwa muda mrefu. Au Bashad Alsady
Alikufa Nyerere na Tanzania bado ipo na mamluki wanaotaka kuleta vita kina Kittima wanashughulikiwa ipasavyo na wagalatia wenzake, Tena sasaivi ndio Tz haicheki na nyau kabisa .....hata Iran kufa kwa huyo babu sio ndio mwisho wa Taifa lao.
 
News updates;
-Iran ipo kwenye kumchagua mrithi wa Khamenei,pia unasemekana Masoud Pezeshkian haieleweki hali yake huwenda wakamchagua rais wa mpito kuendeleza vita.
-Iran imeandaa mpango wa kusogeza askari wake na wanamgambo wake karibia na mipaka ya Israel ili vita.
-Pia inaandaa Makombora ya hypersonic kuanza jihadi ya kulipiza kisasi cha Khamenei.
-Trump anaonya kuwa VITA KWAKE VIMEISHA IRAN ISITHUBUTU KUSHAMBULIA LEO MAANA ITAJIBIWA JIBU KALI.
-Mkondo mkuu wa nchi wa kusambaza na kusafisha maji ya matumizi Israel umelipuliwa.
Trump fala kweli! Vita haijaisha mpaka viishe...atulie tuli.
 
Wamarekani wameteleza sana kumuua huyu mzee.
Naona Wairan wamekusanyika mtaani kuomboleza, nimeona watu wazima wanalia kama watoto wadogo. Nilikuwa sijui kama huyu mzee anapendwa na wananchi wa Iran kiasi hiki.
Wale wananchi wa Iran waliokuwa wakiandamana kupinga utawala wa Ayatollah wiki kadhaa zilizopita wako wapi?
Sioni wakiingia mtaani kusherehekea. Naona wananchi wanalia machozi ya majonzi.
Waliokuwa hawamtaki Ayatollah hawapo tena?
Wairan wengi wamefurahi kuuawa kwa muuaji katili Ayatollah Khamenei



The Voices Of Happy Iranians Are Heard All Across Tehran Tonight After The News Of Ayatollah ...jpeg



 
Wameumbuka wengi sana wachambuzi uchwara walijizolea wafuasi huko mitandandaoni kwa kuwalisha matango pori. Ukijaribu kuweka ukweli kwamba US ni super power wafuasi wao wanakushushia matusi
Kinachoniuma ni Khamenei
 
Huyo mzee miaka 86 ukimuua kuna faida lipi!?
Leo Iran wanafanya uchaguzi wa kiongozi wa kumrithi Khamenei na vita inaendelea pale pale.
Hapo patagongwa usiku kucha..Wazungu si watu wa kula bagia na misemo.Walichoplan tulidharau leo tunatafuta vichaka.
Iran inaenda kuharibika zaidi na zaidi..kama upo huko hamia huku US
Mfungo utakuwa mgumu
 
Nimegundua kweli wewe ni mtu wa fasihi, huna ufahamu wa mambo ya kiusalama na geopolitics.

Kwa mfumo wa uongozi wa Irani jinsi ulivyo hii vita itategemea na aina yaAyatollah watakayempata. Vita bado ni mbichi.

Trump na Netanyahu wametoa tamko kwa raia wa Iran wajitokeze wapambane na serikali yao lakini ni kama Iran wameziba masikio.

Njia pekee ya kuuangusha utawala wa Iran ni kuingiza wanajeshi ardhini. Mbali na hapo hakuna matokeo yoyote watakayoyapata labda kumuua Khomein.

Kwa usiku wa jana Israel na Marekani hawakufanya shambulizi hata moja. Kuanzia saa 2 usiku hadi saa 8 Iran imefanya mashambulizi makubwa sana non stop bila ya kuwa na uongozi. Hofu yangu inakuja ni aina gani ya kiongozi watakayempata: Wakimpata laini ambaye viatu havimtoshi utakuwa ni ushindi wa Marekani na Israel. Ikiwa wakimpata mgumu hakutokuwa na mabadiliko yoyote-Again, njia sahihi ni kuingiza wanajeshi ardhini.
Hii vita imeisha mkuu ni amini hivyo. Marekan na Israel wanapigana kwa phase hapo wanamwacha kwanza arushe makombora yake hovyo kama kawaida yake huku wakisikikizia reaction ya raia na jesh kama watajisalimisha. Kumbuka hadi hivi sasa top kamanda wate wako eliminated. Wakijitahidi sana hii vita week 2 haishi Marekan watakuwa washamaliza kula kitu
 
Pasi na shaka ni sahihi Iran yuko vizuri.
Kuna mtu angetegemea kama Iran atashambulia kambi zote za USA mashariki ya kati!??
USA amepata hasara ya vifo vya askari wake kila nchi aliyoweka kambi middle east.
Na sasa anadai vita kwake imeisha na anaikataza Iran isiendelee na mashambulizi.
Atakaehoji uwezo wa Iran nitamuona hatumii akili vizuri.
 
Hapo patagongwa usiku kucha..Wazungu si watu wa kula bagia na misemo.Walichoplan tulidharau leo tunatafuta vichaka.
Iran inaenda kuharibika zaidi na zaidi..kama upo huko hamia huku US
Mfungo utakuwa mgumu
Marekani ameshasema vita kwake imeisha.
Kama unadhani Iran itasujudu pole yako.
Jihadist kila kona wanaitwa,PAKISTAN vijana wamevamia balozi ya USA na kuiharibu.
Iraq watu wanaandamana kupinga kifo cha Khamenei.
Bahrain raia wako road wanaomboleza kifo cha Khamenei.
 
Hii vita imeisha mkuu ni amini hivyo. Marekan na Israel wanapigana kwa phase hapo wanamwacga kwanza arushe makombira yake hovyo kama kawaida yake huku wakisikikizia reaction ya raia na jesh kama watajisalimisha. Kumbuka hadi hivu sasa top kamanda wate wako eliminated na Rais hajulikani alipo. Wakijutahidi sana hii vita week 2 haishi Marekan watakuwa washamaliza kula kitu
Waliouawa sio makamanda wote wakubwa punguza uongo.
Tangu vita inaanza Israel na USA lengo lao lilikua kubadili utawala.
-Kwasasa Marekani hana kambi active tena Middle east zaidi ya Israel na meli vita zake.
Raia wanaandamana kutaka kisasi cha Khamenei.
Wanajeshi wamejiandaa kwa vita ya jihadi.
Msitegemee Iran kusujudu,kwa Iran vita haijaisha.
 
Mkuu Iran kushambulia viwanja vya ndege na mahoteli ni kutaka kuleta taharuki na shinikizo na kuhakikisha kuwa shughuli zote za kiuchumi zina simama kwenye nchi hizo ili kuziweka katika wakati mgumu usiyo weza kuvumilika ili nchi hizo ziishinikize Marekani iache mashambulizi yake dhidi ya Iran.
Kiongozi uchambuzi wako haujanyooka..
Iran ilisha shambulia hizo kambi kwenye hizo nchi mara ya mwisho kabisa kipindi wanamaliza ile vita ya siku 12, baada ya kushambulia ndipo wakasimama.

Unataka kusema na pale walikuwa wanashambulia ili hizo nchi ziombe US aombe cease-fire?

Ambacho hujui mashariki ya kati , haswa hizo nchi zinatumika vibaya na ISrael na US kufanya ujasusi dhidi ya Iran, na viongozi wao wanafiki wanaelewa hiko kitu, acha wapewe onyo ili sik zijazo wapate akili.

Majasusi wanaolenga wanasayansi, makamanda wa jeshi la Iran, kufanya sabotage kwenye infrastructure za kijeshi, wanapotoka huko Israel ama US, wanafikia hizo kambi, mipango na training inaendeshwa humo...
 
Iran imeniangusha sana kwakweli. Tatizo wanapiga hovyo hovyo bila shabaha. Israel 4_1 iran dakika ya 70.
 
Back
Top Bottom