adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Ni sawa mwanaume aliwe tundu aseme nimeliwa kidogo.Marekani ameshasema vita kwake imeisha.
Kama unadhani Iran itasujudu pole yako.
Jihadist kila kona wanaitwa,PAKISTAN vijana wamevamia balozi ya USA na kuiharibu.
Iraq watu wanaandamana kupinga kifo cha Khamenei.
Bahrain raia wako road wanaomboleza kifo cha Khamenei.
Aibu na jambo hilo halikutegemewa..Wataandaman ila jibu ni moja aibu...aliyeuliwa ukiangalia kauli zake zilikuwa za kibabe amekkufa kiboya boya sana...potea na mawazo hayo utakufa na presha.
Hao wajiite Dunia nzima..wahuni watapagonga hapo kama Syria..pataisha mtakuja kulia lia humu free Iran free Iran..Wazungu ni wahuni hawana hizo stori zenu za kelele nyingi.