Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kiongozi wa nchi kauawa,mkuu wa majeshi kauawa,waziri wa ulinzi kauawa vipi tena hawa Iran hawakuhifunza kwenye ile 12 day war ambayo wanasayansi na makamanda waliuawa pia? Nakumbuka Trump alisema yeye ndio alozuia Israel wasimuue wengi wakaona ni propaganda sasa nafikiri wengi wamejua ile haikuwa propaganda.
Vita imeisha hio.
 
Pamoja na kwamba wametangaza rasmi kifo cha Ayatollah lakini sijafanikiwa kuona picha yake akiwa amekufa kama ambavyo walituonyesha kwa yule Sinwar

Au wenzangu mmeona?
 
😂😂
Ushabiki kitu kibaya.

Kwamba kiongozi mkuu na safu ya viongozi watakwe kulengwa na adui?
😂😂
Huoni kuwa ni aibu kiongozi kuuawa kama ngedere yaani kwenye pigo la Kwanza tuu.

Hata Gaddafi alikuwa mwamba maana angalau yeye amekaa kwa muda mrefu. Au Bashad Alsady
Kifo cha Khamenei sijui kwanini wengi wanaona ni kama ushindi kwa Israel..

Khamenei alibaki kama nembo ama sura ya mapinduzi ya kiislamu, ameshazeeka ana miaka 86 na alikuwa na maradhi ya uzee.

Khamenei alikuwa hategemewi kwenye maamuzi makubwa ya kijeshi na strategies za kivita, kwamba awe anaongoza jeshi akiwaambia fanyeni namna hii na vile, pigeni hapa na pale, hio kazi kuna vijana tayari wamewekwa, kuna makamanda tayari wapo.

Hivyo kumuua haimaanishi kurudisha nyuma uwezo wa Iran kijeshi.

Khamenei alibaki kuwa kama kiongozi anaye heshimika na aliye ifanyia Iran mambo makubwa katika wakati wake akiwa na nguvu. Na walimuheshimu kwa hilo.

Masuala ya kivita kuna vichwa vipo ndio wanatoa strategies na maamuzi. Tena wa sasa hivi ni vichaa. Maana wamewasha moto mashariki ya kati yote.

Iran muundo wake wa kijeshi huwezi kuwa defeat kwa kulenga viongozi..
 
Kwa hiyo saizi pale Iran ni nani kiongozi mtegemezi aliyebakia ambaye ana nguvu zaidi?
 
Trump anaonya kuwa VITA KWAKE VIMEISHA IRAN ISITHUBUTU KUSHAMBULIA LEO MAANA ITAJIBIWA JIBU KALI.

Hio ni namna ya kuomba cease-fire, amezoea kuingia Iran na kuua, halafu anaomba cease-fire, ni kama amewazoea waajemi, this time lazima kimlambe na awajibike.

Iran iendelee na mashambulizi hadi kule baharini, wasogeze na majeshi karibu na Israel, maana jeshi la Iran ardhini wapo vizuri kuliko hata jeshi lao la anga.

Israel itandikwe na mshariki ya kati ichafuke, iwe fundisho.
 
Kashmiri Mashia wamechachamaa wanaandamana wakidai kisasi dhidi ya Marekani.
Ngoja tuone itakavyokua.
 
Kifo cha Khamenei sijui kwanini wengi wanaona ni kama ushindi kwa Israel..

Khamenei alibaki kama nembo ama sura ya mapinduzi ya kiislamu, ameshazeeka ana miaka 86 na alikuwa na maradhi ya uzee.

Khamenei alikuwa hategemewi kwenye maamuzi makubwa ya kijeshi na strategies za kivita, kwamba awe anaongoza jeshi akiwaambia fanyeni namna hii na vile, pigeni hapa na pale, hio kazi kuna vijana tayari wamewekwa, kuna makamanda tayari wapo.

Hivyo kumuua haimaanishi kurudisha nyuma uwezo wa Iran kijeshi.

Khamenei alibaki kuwa kama kiongozi anaye heshimika na aliye ifanyia Iran mambo makubwa katika wakati wake akiwa na nguvu. Na walimuheshimu kwa hilo.

Masuala ya kivita kuna vichwa vipo ndio wanatoa strategies na maamuzi. Tena wa sasa hivi ni vichaa. Maana wamewasha moto mashariki ya kati yote.

Iran muundo wake wa kijeshi huwezi kuwa defeat kwa kulenga viongozi..
Ni kweli kifo cha Ayatollah hakiwezi kuwa sababu ya kuangushwa kwa Irani kwasababu hata hivyo Ayatollah hakuwa na miaka mingi ya kuishi mbele hivyo ni lazima Iran ipate kiongozi mpya.
Lakini haiondoi ukweli kuwa Iran inatakiwa ibadilishe mkakati wa kuwalinda viongozi wake na watu muhimu ndani ya nchi hiyo wanauliwa kirahisi sana mpaka imekuwa to much.
Kwa hali ilivyo kuwa haikuhitaji akili ya ziada kujua kuwa kufanyia mikutano ikulu ilikuwa ni hatari kwao.
 
Kwa hiyo saizi pale Iran ni nani kiongozi mtegemezi aliyebakia ambaye ana nguvu zaidi?
Iran uongozi wake upo complex sana hata mimi mwenyewe sielewi..

Hao jamaa wapo mbele ya muda, ukichunguza wanasayansi waliouawa wa nuclear ni wengi lakini projects zinaendelea kama vile hakuna kilichotokea, succession plans zao ni next level..

Kumuua Khameei ni kama ndio wameongezwa molari ya vita na sio kufa moyo.. tofauti na intel za US & Israel zilivyowaambia. Tayari Israel kaingizwa cha kike.
 
Kwamba kifo cha Ayatollah sio pigo kabisa kwa Iran?

Kwamba hakuna hasara yeyote ambayo kama Taifa imepata kwa hiki kifo cha kiongozi mkuu?

Ngoja tuone ila binafsi siamini kama Iran itaweza kulipiza kisasi cha kuua top leader wa maadui zake zaidi ya kulipua majengo.

Na hatua hiyo ikifanikiwa basi Iran inaweza kukumbana na wimbi kubwa la mashambulizi kama ambavyo Trump ameahidi.
 
Iraq vikundi vya jihadi vinaandamana kudai kisasi.
Tehran kumefurika raia wanasema hawatasamehe serikali kama haitalipa kisasi.
Kuna cheap propaganda wakionyesha raia wakishangilia kifo cha Khamenei kuonyesha dunia Iran hawamtaki Khamenei lakini kuna picha na videos hazirushwi zikionyesha raia wengi wa Iran kuchukizwa na kitendo cha Israel na US.
 
Bwana wee kumepigwa akauwawa mtu hizo zingine ni porojo za kujifuta machozi.Tumevuliwa nguo..
Marekani ameshasema vita kwake imeisha.
Kama unadhani Iran itasujudu pole yako.
Jihadist kila kona wanaitwa,PAKISTAN vijana wamevamia balozi ya USA na kuiharibu.
Iraq watu wanaandamana kupinga kifo cha Khamenei.
Bahrain raia wako road wanaomboleza kifo cha Khamenei.
 
Bwana wee kumepigwa akauwawa mtu hizo zingine ni porojo za kujifuta machozi.Tumevuliwa nguo..
Marekani ameshasema vita kwake imeisha.
Kama unadhani Iran itasujudu pole yako.
Jihadist kila kona wanaitwa,PAKISTAN vijana wamevamia balozi ya USA na kuiharibu.
Iraq watu wanaandamana kupinga kifo cha Khamenei.
Bahrain raia wako road wanaomboleza kifo cha Khamenei.
 
Kwamba kifo cha Ayatollah sio pigo kabisa kwa Iran?

Kwamba hakuna hasara yeyote ambayo kama Taifa imepata kwa hiki kifo cha kiongozi mkuu?

Ngoja tuone ila binafsi siamini kama Iran itaweza kulipiza kisasi cha kuua top leader wa maadui zake zaidi ya kulipua majengo.

Na hatua hiyo ikifanikiwa basi Iran inaweza kukumbana na wimbi kubwa la mashambulizi kama ambavyo Trump ameahidi.
Wananchi wa US hawaungi mkono kwa sehemu kubwa hio vita kama ulikuwa hufahamu..

Kingine China na Russia wanatoa msaada kijeshi kuidhoofisha US kupitia Iran, hayo mashambulizi US atayapanga kutokea wapi, baharini ama kambi zake za middle east, ama Diego Garcia...

Hypersonic zinaweza kupiga hizo manowari, Iran missiles zake zinaweza fika pia Diego Garcia, maana wanasema missiles zake Europe zinafika.

Israel tayari inapigwa.

Ukitizama hapo hizo porojo za Trump kusema kwamba atashambulia kwa nguvu si kweli, ingalikuwa wamepewa base karibu na Iran hapo sawa. Na hakuna nchi itafanya hivyo.

Hapo Israel ndio itaumia.
 
Kiongozi wa nchi kauawa,mkuu wa majeshi kauawa,waziri wa ulinzi kauawa vipi tena hawa Iran hawakuhifunza kwenye ile 12 day war ambayo wanasayansi na makamanda waliuawa pia? Nakumbuka Trump alisema yeye ndio alozuia Israel wasimuue wengi wakaona ni propaganda sasa nafikiri wengi wamejua ile haikuwa propaganda.
Vita imeisha hio.
Iran inapigwa kihatatua zilipangika.

Vita ya siku 12, ilikuwa ni kwa ajili ya kuharibu uwezo wake wa Nyuklia na wamakombora.

Vita ya sasa hivi ni kumaliza uwezo wake wa makombora na Kijeshi na kitaasisi.

Iran ikishamalizwa malizwa uwezo wake kuishambulia Israel, Silaha zitaanza kugawiwa kwa wananchi wa kawaida kuipindua Serikali huku Israel akiwa anaishambulia Iran kama Syria.
 
Back
Top Bottom