matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Iran tweeters wanai Netanyahu amededishwa kwenye nyumba yake kwa shambulizi la drone. Wengine wanasema kaheruhiwa.
Kuna ukweli wowote hapa
Kuna ukweli wowote hapa
Wameumbuka wengi sana wachambuzi uchwara walijizolea wafuasi huko mitandandaoni kwa kuwalisha matango pori. Ukijaribu kuweka ukweli kwamba US ni super power wafuasi wao wanakushushia matusiTuliokuwa tunafikiria Marekani kama Kuku Broiler kwa Iran😀😀😀😀😀tumeumbukaa
Mpaka umri huu na mpaka unajiunga JF bado hujajua chanzo cha hawa makobazi kutandikwa na wababe wa dunia Israel na US? pole sana.Swali nje na mada kosa la Iran ni nini ?
NB:Vita sio kitu Cha kuweka ushabiki maandazi.
Mbona kwa N.korea hawakuweza kufanya chochote mwisho wa siku wakaamua waipotezee ? sababu ni kuwa Marekani angemshambulia n.korea na yeye angeshambulia japani au Korea kusini kwa mabomu ya nyuklia.Kawaulize Pakistan pamoja kuwa na nuclear kilitokea nini pale walipogoma kushirikiana na Bush kuhusu vita ya ugaidi hasa kuivamia Afghanistan walipewa onyo gani mpaka Musharaf akafyata mkia.
Jibu swali sio kunijadili binafsi mkuu.Wewe unadhani humu ndani Kila mtu anajua sababu ? Wengine ni bendera fuata upepo.Mpaka umri huu na mpaka unajiunga JF bado hujajua chanzo cha hawa makobazi kutandikwa na wababe wa dunia Israel na US? pole sana.
Magharibi washa pima upepo Kwa Kiduku na kuona sio mtu wa diplomasia na blabla,hivyo kumchokoza ni kosa la kimkakati na hatosita kufanya lolote.Mbona kwa N.korea hawakuweza kufanya chochote mwisho wa siku wakaamua waipotezee ? sababu ni kuwa Marekani angemshambulia n.korea na yeye angeshambulia japani au Korea kusini kwa mabomu ya nyuklia.
Hivyo hivyo kwa Irani ikifanikiwa kumiliki silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuishambulia Israeli Marekani kamwe hawezi kuleta chochoko dhidi ya Iran.
Sasa Pakistani hana silaha za nyuklia zenye uwezo wa kufika Marekani yeye ameunda nyuklia kwa ajili ya kujilinda dhidi India tu, na pia haina mshirika wa muhimu wa Marekani karibu na mipaka yake kusema watamtumia kuitisha Marekani hata ikitokea Marekani ikaishambulia Pakistani ni ngumu kwa Pakistani kuidhuru Marekani.
Swali nje na mada kosa la Iran ni nini ?
NB:Vita sio kitu Cha kuweka ushabiki maandazi.
Isitoshe N. Korea haina maslahi yeyote Kwa Marekani hata wakisema waivamie. Itakuwa ninkupoteza muda tu...Magharibi washa pima upepo Kwa Kiduku na kuona sio mtu wa diplomasia na blabla,hivyo kumchokoza ni kosa la kimkakati na hatosita kufanya lolote.
Ayatollah kufariki haitobadilisha chochote..
Ayatollah ni kama alitaka kulengwa na hayo mashambulizi, maana alikuwa kwenye makazi kawaida tu na familia yake.
Hao kifo kama hiko wao wanasema wamekufa shaheed, na wanatamani vifo vya namna hio, na wanawaonea wengine wivu wakitangulizwa mbele za haki kwa staili hio 😂 ..
Sioni kama ni ushindi kwa Israel na US kumuua Ayatollah ambae ana miaka 86 na alishamaliza kazi yake, ameshawalisha ideas zake na falsafa zake.
Unabishana na Khamenei?Mie nilie kisa upuuzi wako wa kuamini uongo!??
Alfajiri hii Khamenei ametoa tamko kuwa yupo hai.
Unadhani nina akili za kifala kama wewe!?
Huyo mzee miaka 86 ukimuua kuna faida lipi!?😂😂
Ushabiki kitu kibaya.
Kwamba kiongozi mkuu na safu ya viongozi watakwe kulengwa na adui?
😂😂
Huoni kuwa ni aibu kiongozi kuuawa kama ngedere yaani kwenye pigo la Kwanza tuu.
Hata Gaddafi alikuwa mwamba maana angalau yeye amekaa kwa muda mrefu. Au Bashad Alsady