Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Vita
Una habari kama Marekani kapoteza wanajeshi maji 13 nchini Bahrain!??
Na support navy fleet moja imezamishwa tayari ikiwa na askari ndani yake?
Unashangaa mwanajeshi kufa vitani we una akili kweli


Tunasubiri mshindi aje kuandika historia
 
Nachojua Irani inapiga nchi jirani sababu anataka nchi hixo kutoruhusu ardhi zao kufanya mashambulizi dhidi yake.

Hivyo hawatokufa kizembe yaaani ni kwamba middle east yote itaenda kuteketea kwa upuuuzi wa waarabu wenyewe.
 
Uislam na waumini wake wamejaa uongo na propaganda


Israel Aliua All top IRGC commanders na Bado unakuja hapa unasema Israel alipigwa 😁


Weka picha hata Moja nioneshe kamanda yoyote wa Israel alieuliwa na hao wahuni wa Iran
Wewe nani kakuambia mimi muislamu?

Israel kutumia watu kufuatilia mienendo ya makamanda na kutuma watu kuwamaliza ndipo kushinda vita?

Unaelewa Israel ilianzisha vita Iran ikiwa imejiandaa kwa mazungumzo na si kivita kama US alivyo walaghai?

Lakini baada ya kukaa sawa na kuanza kutoa mashambulizi ndipo Israel ikaomba cease-fire...
 
Hapo middle east wale wazee wa lobby wanahitaji military superpower mmoja Tu, ndo vita yote hii sababu ni hiyo.
 
Kuua top commanders ndio kushinda vita!?
Imeleta faida gani wao kuua hao makamanda ilhali Iran ilichagua makamanda wapya na ikaendelea na vita!?
Kama top commanders wa vita wanauliwa utasema hiyo nchi Ina ulinzi ?

Leo tu top commander mmoja na waziri wa ulinzi wameshatangulizwa Kwa Allah wakasugue visimi vya mabikra 72 unasema Kuna ulinzi hapo.


Iran kazungukwa na maadui everywhere
 
hakuna kulala, mwendo wa salamu tu

aaaaaq.PNG
 
Wananchi wa Iran bado hawajaanza kuandamana?
Maana Trump na Netanyahu wamewaomba raia wa Iran waingie mtaani kupindua serikali yao.
 
Funny thing Umuelezea exactly Israel,

Hilo eneo la Israel ndio kuna dini kongwe na madhehebu ya zamani yote historically Waroma na mpaka Leo Waisrael wanawatarget na kuwaua.
Huna akili Israel Kila dini inapewa haki sawa.


Hata Waislam wanaenjoi.
 
Nachojua Irani inapiga nchi jirani sababu anataka nchi hixo kutoruhusu ardhi zao kufanya mashambulizi dhidi yake.

Hivyo hawatokufa kizembe yaaani ni kwamba middle east yote itaenda kuteketea kwa upuuuzi wa waarabu wenyewe.
Hilo suala la middle east yote kuchafuka Iran huwa anarudia sana kulisema toka 2011, and finally imefika...

Na kwa jinsi waarabu wa Qatar, UAE n.k wanavyopenda tende na maisha mazuri, hawatokubali nchi zao kutandikwa kiasi hiko, itabidi wasijibu kuepusha vita kamili.
 
Kama top commanders wa vita wanauliwa utasema hiyo nchi Ina ulinzi ?

Leo tu top commander mmoja na waziri wa ulinzi wameshatangulizwa Kwa Allah wakasugue visimi vya mabikra 72 unasema Kuna ulinzi hapo.


Iran kazungukwa na maadui everywhere
Na cha ajabu Israel haitoweza shinda vita kwa kulenga hao commanders..
Wameshaua wanasayansi wa nuclear kibao lakini project zinaendelea...

Israel pia ingalikuwa na ulinzi wasingeomba cease-fire, commanders wao walivyo waoga wa kifo huwa wanajificha mashimoni...
 
Back
Top Bottom