hakuna so far ila wake wameuliwa wengi ikiwemo makamanda wakuuSina hesabu kamili,
Mashambulizi gani, wakati Iran inarusha makombora ovyo!?Pentagon yatangaza Wanajeshi 3 wamefariki na 5 wamejeruhiwa kufuatia mashambulizi ya Iran
acha kuongea propagandaKama ingekuwa hivyo kwanini USA kakimbizia silaha zake cyprus baada ya uturuki kumchomolea kumpokea?
Israel kwanini hateketezi na kuharibu missiles launchers za Iran!?kuendelea kurusha makombora haimaanishi kwamba haipigwi, je ushaona ndege yeyote ya israel imepigwa hadi sasa? iran si ana makombora ya hypersonic kwa nini asiangushe hizo ndege?
Isreal mchana huu amechezea. Nimehangaika sana kuzi attach, zinachukua muda mrefu sana. Nyengine zinakataa kuwa attached sijajua tatizo ni nini?!Hizo bases za US zilizopigwa zilikuwa zina radars na vyombo ambapo vilitumika kutoa early warning hadi Israel.
Walitengeneza Integrated Air and Missile Defense (IAMD), Iran ikirusha makombora, tayari Qatar inaona, Kuwait, Bahrain n.k... hivyo wanafanya radar data sharing ama wana link na radar za Israel, hivyo Israel wanapata taarifa kuna missiles zipo njiani.
Kwa jinsi hali ilivyo, Israel itaharibiwa vibaya, na Iran imeamua kufa na Israel, hata waarabu wengi hapo wana kinyongo kuhusu Gaza bado, hata Qatar watakaa kimya.
Ndio maana Iran kwa hasira anatandika hizo kambi na anapiga si mchezo, maana hizo nchi walifahamu wanatumika na US na walikaa kimya.
Tel Aviv inaharibiwa vibaya kabla hata masaa 48 hayajafika, ni majanga makubwa.
Si kweli, Khaibar nisaidie , Israel wameuawawa askari wa ngapi na US?hakuna so far ila wake wameuliwa wengi ikiwemo makamanda wakuu
hujui kwamba zingine ziko undeground au na chini ya milima? so unafikiri za underground zinapigika kiurahisi sio?Israel kwanini hateketezi na kuharibu missiles launchers za Iran!?
Kwanini haripui missile silos za Iran, maana nasikia MOSSAD wa kutosha wamejaa Iran, Israel anakwama wapi?
us imetangaza watatu tu.. israel kwa sasa noSi kweli, Khaibar nisaidie , Israel wameuawawa askari wa ngapi na US?
We hujui kama Israel hawafi, mpaka picha zipo watu wanawekwa kwenye mifuko ila Authorities wanakwambia kuna majeruhi Tu.us imetangaza watatu tu.. israel kwa sasa no
MOSSAD hawapo kwa ground!?hujui kwamba zingine ziko undeground au na chini ya milima? so unafikiri za underground zinapigika kiurahisi sio?
SI kweli, kuna wengine wameuawa kwenye kambi hapo gulf states...us imetangaza watatu tu.. israel kwa sasa no
Na Iran ameshafahamu udhaifu wa Israel ni hapo tu, Israel haina uwezo kuvumilia mashambulizi..Isreal mchana huu amechezea. Nimehangaika sana kuzi attach, zinachukua muda mrefu sana. Nyengine zinakataa kuwa attached sijajua tatizo ni nini?!
Mashoga ya Tel Aviv hayafi ni immortal.We hujui kama Israel hawafi, mpaka picha zipo watu wanawekwa kwenye mifuko ila Authorities wanakwambia kuna majeruhi Tu.
Video nyengine zoezi la uokaji linaendelea na wanaitana kwenye vifusi ili aliye hai wamsikie wafukue. Ili ndiyo zinakataa sasa kuziweka.Na Iran ameshafahamu udhaifu wa Israel ni hapo tu, Israel haina uwezo kuvumilia mashambulizi..
Hizo ndio data mpaka saiv naona watu humu wanajifurahisha sjui ndio wanajifariji
AIsee!View attachment 3550647
Mfano angalia hapo, Hilo ni bunker la mtaa, watu wote wamejifungia humo, missile imepiga situ hakuna tena Jengo Bali ime penetrate mpaka ndani ya Bunker.
Picha za wanaokoa kuna mifuko kibao ya maiti
View attachment 3550649
Ila utaskia Tu kuna majeruhi,
Israel wanajulikana ni tabia Yao kuficha data, uongo kwao ni profession.