Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Inachofanya Iran heshima kwake hata akianguka hizi guts za kukabiriana na mataifa makubwa mawili na ile military buildup niliyokuwa naiona kwa miezi kadhaa hapo mashariki ya kati mataifa mengine yangekuwa yamekwisha salimu amri muda tu hata kabla ya kichapo.

Israel imeweka historia ya kutumia ndege nyingi kwa wakati mmoja na Iran bado ipo heshima kwao aisee
Hadithi za Abunuasi
 
Proper missile's sacred work!

HCU4EKNXAAAecWU.jpeg
 
AMKENI AMKENI WALIOSEMA VITA IMEISHA WAKUJEEE!!
BEIT SHEMESH INAPOKEA KIPONDO MARIDHAWA HUKO.
UAE OIL REFINERY IMETIWA KIBIRITI SASA HIVI.
VYUMA VINGINE VIKO NJIANI,IRAN IMEANZA KUTUMIA HYPERSONIC MISSILES.
 
MBS karuhusu mashambulizi dhidi ya Iran endapo Iran itaishambulia tena
 
Iran UAE imemkosea nini?
Mbona anaitwanga kuliko anavyoitwanga Israel??
Bandari ya Zared imepigwa kombora muda si mrefu Abu Dhabi.
 
Beit Shemesh Israel kunawaka moto muda huu.
Inasemekana watu watatu wamefariki hadi sasa.
Iran ilipopiga early warning radars kwenye hizo nchi zingine, sasa hivi taarifa hazifiki Israel kwa usahihi kwa usahihi kama awali.
Apps za simu kama RedAlert na Tzofar zinazowapa taarifa mapema kutoka home front command hivi sasa hazitotoa taarifa kwa usahihi...

Kinachokwenda kutokea hapo tutegemee majanga kwa Israel. Vifo vitakuwa vingi.
 
Back
Top Bottom