Basi jamaa wana roho mbaya sana. Aisee sijui wamewaumiza watu kwa kiasi gani kwa ukame wa makusudi.Weather manipulation, kusema kweli science imefika mbali sana mkuu
Basi jamaa wana roho mbaya sana. Aisee sijui wamewaumiza watu kwa kiasi gani kwa ukame wa makusudi.Weather manipulation, kusema kweli science imefika mbali sana mkuu
Wakati wa kufa nyani miti yote huteleza 🤣🤣.... Haya magaidi yanadhani China inapenda kuharibiwa kwa biashara kati yake na Iran? Safari hii lazima Dragon ameze mtuBREAKING: 🚨
Israel yaitaja China kuwa ni nchi inayochochea chuki dhidi ya Wayahudi (Antisemitism) na kuiomba dunia kuweka vikwazo kamili vya kisiasa na kiuchumi dhidi yake. 🌍📉
Maafisa wa Israel wanadai kuwa China imekuwa ikifadhili simulizi hatari na kujenga ushirikiano wa kimkakati unaotishia usalama wa jamii za Kiyahudi duniani kote. 🇮🇱🇨🇳
Israel sasa inatoa wito kwa nchi na wafanyabiashara duniani kote kusitisha mahusiano ya kibiashara na China kama hatua ya kupinga sera hizo.
🙃
Akili hawana 😄BREAKING: 🚨

Akili hawana haswa. Unataka kushindana na nchi ambayo benki yao ya taifa imekopesha 78% ya dunia nzima pesa ambazo ni nyingi kuliko walizokopesha IMF na WB!??Akili hawana 😄
Sijui Israel wanajichukulia kwa umuhimu gani vile?Akili hawana haswa. Unataka kushindana na nchi ambayo benki yao ya taifa imekopesha 78% ya dunia nzima pesa ambazo ni nyingi kuliko walizokopesha IMF na WB!??
Unadhani hilo taifa ni jepesi!??
Nchi 138 zinadaiwa na Benki kuu ya China. Hujazungumzia ujenzi nafuu wa ushirika wa miundombinu wa BELT AND ROAD INITIATIVE. Hadi Ulaya mashariki wanakimbilia kwa wingi huu ushirika ikiwemo ITALIA nayo imeomba huu ushirika.
China ni big fish to fry .
Wana jua kwamba walifanikiwa vyema kuidanganya Dunia kwamba Taifa lao ni Taifa teule so Kwa muktadha huo it means wana nafasi wengi Sana ambao ni wafuasi wa kidini , so wanaamini lolote watakalo sema litaungwa mkono wasicho kijua ni kwamba nyakati zime badilika Now days ukweli upo wazi kama uchi wa kuku technology imekuja kuwa weka naked vibaya sanaSijui Israel wanajichukulia kwa umuhimu gani vile?
Ikitokea mtu amewakemea kidogo tu, wanaomba jamii yote imbague
ImagineAkili hawana haswa. Unataka kushindana na nchi ambayo benki yao ya taifa imekopesha 78% ya dunia nzima pesa ambazo ni nyingi kuliko walizokopesha IMF na WB!??
Unadhani hilo taifa ni jepesi!??
Nchi 138 zinadaiwa na Benki kuu ya China. Hujazungumzia ujenzi nafuu wa ushirika wa miundombinu wa BELT AND ROAD INITIATIVE. Hadi Ulaya mashariki wanakimbilia kwa wingi huu ushirika ikiwemo ITALIA nayo imeomba huu ushirika.
China ni big fish to fry .
Akili za ku play victim na utaifa teule. Ila kwa China thubutuuu. China ni mhimili wa uchumi wa dunia ya sasa.Sijui Israel wanajichukulia kwa umuhimu gani vile?
Ikitokea mtu amewakemea kidogo tu, wanaomba jamii yote imbague
China kuparaganyika na chapu TUAkili za ku play victim na utaifa teule. Ila kwa China thubutuuu. China ni mhimili wa uchumi wa dunia ya sasa.
China kuparaganyika na chapu TU
Haina mshikamano wa NDANI wa maana
Siku wakijichanganya kupigana vita vya nje ndani kunawaka moto
Achana naye fala huyo. Toka lini China ikawa na mgawanyiko!?Ukiulizwa China kuna mgawanyiko gani uwezi kuwa na majibu!!!!
China ni Moja wachina ni wamoja
migawanyiko unayosema ni ramri za MEDIA za western!!!
Lkn hakuna Ushahidi wowote kuwa ndani ya Serikali ya China kuna migawanyiko yoyote au wowote ✍️